Culture Me
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 10,495
- 21,441
Linda daah sasa hivi naona kifo cha Kyle
Najikuta tu nakutaman japo naskia u lesbianLinda daah sasa hivi naona kifo cha Kyle
Mjeda sio siri haaminiki kabisa..anythng for loveLinda daah sasa hivi naona kifo cha Kyle
Ht ww ukituma fedha itafika Pasi na jinsia Itaonekana Jina la wakala tu.Nyie wanaume humu msitukoseshe utamu wkend hii, Lara alishasema hataki pesa ya mwanamke mwenzie, so kazi kwenu toeni Amarula moja, watu tifurahie wkend


Matunda pori yanayoitwa Marula yanasindikwa kutengeneza kinywaji chenye alcohol kinakuwa mixed up na creamShalom wapendwa.
Naomba kujua hii amarula anayoitaka huyu mdada ni kitu gani, maana mie siijui maana nataka kuituma nisaidieni.

AtajuaHt ww ukituma fedha itafika Pasi na jinsia Itaonekana Jina la wakala tu.![]()


Mhimize shemeji bwana achangamshe muamala huko
Shalom MTUMISHIShalom wapendwa.
Naomba kujua hii amarula anayoitaka huyu mdada ni kitu gani, maana mie siijui maana nataka kuituma nisaidieni.




Amarula ni pombe nyepesi tu hivii tamuuu fanya hata elf25 tu atafurahi sn au 15k chupa ndogoShalom wapendwa.
Naomba kujua hii amarula anayoitaka huyu mdada ni kitu gani, maana mie siijui maana nataka kuituma nisaidieni.
Kumbe ni pombe!!?Matunda pori yanayoitwa Marula yanasindikwa kutengeneza kinywaji chenye alcohol kinakuwa mixed up na cream![]()
![]()
![]()
![]()
Kumbe ni pombe!!?
Bora nikakeshe church siwezi shiriki hii dhambi ya kumlewesha my dada


basi na story usisome maana inapombe ndani yake na akinywa ndo anashusha vitu hapaShalom MTUMISHI
Hii Amarula ni kinywaji anachotumia
Mwandishi, we tuma tu elfu 32 kwenye no.hiyo hapo juu ili aburudike shz, saa 6 usiku tupate burudani hapa,
Natanguliza shukran zangu kwa niaba ya mwandishi
![]()
basi na story usisome maana inapombe ndani yake na akinywa ndo anashusha vitu hapa
Sasa wew hii story unasoma ya nn!!Siwezi kumtumia mdada hela ya pombe najua madhara yake,
Samahani mpendwa kwa hilo

Amarula ni pombe nyepesi tu hivii tamuuu fanya hata elf25 tu atafurahi sn au 15k chupa ndogo
Tumeni basi jmn tusilale wakavu