Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
Jamani msinichoshe, nisiwachosheee, nilipokuwa hamna mabaya sanaa wala memaa sanaa, na najua hamnijali sanaa kutaka kujua. Tupeane story.
Story iliopita sikuimalizia bila sababu za msingi kiukweli. Na sitoimalizia sababu isha expire.
Kilichonirudisha kuandika story si kingine ni njaa zangu tu, na my one and only sponsor of all times, MAN OF THE PEOPLE (MOTP) nimempiga kizinga sio cha kitoto, alivo firauni ananizungusha zungusha tu. Mpaka nakaribia kususa. Hamna hamna nimejiongeza mjini ya bure salamu tu, nimuandikie bonge moja ya story akiwa in mood nimchune mie.The hustle is real. Jamani wabeba box wote hamnioniii? Mnisambazie ma western union.
I promise hii story nitaimalizia. Kwanza fupi.
BEN 10 NI FIRE!
JAMANI SI KWA MUALIKO HUU! Nimefanya tu sampling ya comments za readers wangu kwenye stpry 3. Kama nimekuruka bahati mbaya. Ila sitopenda mmiss hili vunja jungu