Ndugu msomaji ni mimi yule yule ndugu yeni Ghost! Kiukweli najua bado hamna hamu na mimi, yani hamnitakiii!Hamnitakiiii! Sio kihivo jamani chonde chonde! Nawaomba msikilize upande wangu!
Mimi Kyle yule sio demu wangu! Hatuna mkataba wowote useme tunapendana! Nope! Yule ni kiburudisho tu cha by the way! Come to think of it hata kama ni njaa, naanzaje kiwa na mwanamke official kama yule!
Kwanza amezaa na mwanaume mwingine, mimi mwanae nilikuwa namchukulia kama malaika tu, ila sio kwa!ba nampenda aje awe mwanangu Hell no! Ananbaba yake mzazi! Tafaaaa! Wanitue! Wakati wana bilingana mi nilikuwepo? Uchi ale nani mtoto nije nileee mie?
Pili alikuwa mwanamke wa kawaida sanaaa! Very pain, very normal! Hana ile Waoh Factor! Just plain! Maybe she is a little smart but she still plain! So akivua nguo hana maajabu yoyote! Ndo maana alikuwa kunipa hisia lazima afanye kazi ya ziada sanaaa!
Kumla kiukweli nilimla tamaa tu za fisi, not that i had any plans with her or any feelings! Kwanza nawachana live ndugu wasomaji mimi ndo KONKI KONKI KONKI MASTER! Wanawake kwangu wanakaa kimya na wanatulia! I am very selective
Nyani Ngabu akasome chekechea when it comes to my women! I select only the best of the best! Sizoi zoi!
Nawaambia wasomaji ukitongozwa na Ghost ujue wewe mwanamke uliekamilika! Sina uhaba wa wanawake so i keep raising the bar higher and higher! Napandisha vigezo usiku na mchana! So thats me ndugu msomaji! I like my women elegant, extremely beautiful, talented, smart and classy all in one! Na hata hao hamna wanaoniridhisha ni kama wana beep beep tu!
Hata Kyle alivoniuliza whom did i date sikumjibu cause niliona kumjibu ni kama kumtukana tu! Namjibu nini sasa? !aana nikianza kumtajia hizo big names atajiona hana bahati! Atavurugwaaa! Sijui mnanielewa ndugu wasomaji?
Kyle ndo alinitaka mimi, tena naweza sema alinifosi hata kunibaka kisaikolojia! Ikabidi nimpelkee masgine kwanza aliniita shoga! Mwanaume mwenzio akikuita shoga mchome kisu! Ila
mwanamke mwambie njoo uhakikishe kama shoga kweli! Njoo ushuhudie mwenyewe ukweli uko wapi! Maana hata ukimjibu sio hatakuamini! Unampelekea machine kisawasawa mpaka anajiuliza nimelalwa na mtu ama shetani? Haelewi elewi!
Our thingy na Kyle ningeweza kuiendeleza ila aliniboaaa when she wanted to try and take advantage of me kwa kujifanya ananipenda sanaa ili anitumie anavotaka! Hio ilikuwa disapointment kubwa sanaa! Najua anampenda Hans kwanini kujaribu kunifanya Kanyaboya? Nikasema kwa hili she has set all the hell loose upon herself!
Nilimuona nampa namba Hans! Hata wanavoongea unajua hawa wanapendana ndugu msomajiii! And the next minute ananipenda mimi kufa kunitaka kunigeuza mume! Nikasema okay! Ill beat you in your own game! Yeye si ana upendo? Tutaona
Upendo husamehee! Upendo hau hukumu, Upendo huvumilia! Upendo huamisha milima! How deep is her love? Mimi yule mwanamke ni mtu wangu wa karibu sanaa! Ni mwanamke wangu wa mda sanaaa! Na tunaelewana sanaaa!
Kwanza ananojua kama mimi kitombi! And she has never tried to change me! She likes for who i am! Hata nikimwambia niko hapa kuna mtu namla kiboga ataniambia hayaaa baby, ukimaliza basi utanitafuta! Hivo yaaani! Anajua mimi nauza unga hajawahi kunishauri nitafute kazi ingine! Kama pale kamkuta Kyle hajashoboka ni nani na anafanya nini hapa! Kyle ndo alishoboka kidogo nimnase mabao! Ashaona le zamu ya mwenzie siokujipitisha sio kutoa vyombo, yaani full shobo! Mxiuuuuu!
Huyu mwanamke pia bibie Ulfat ni mzuriiii! Mzuriiii kweli! Kwanza udongo wa dubai! Shombe shombe wa kiarabu na kisomali! Ana figure amaizing! Afu anaishi marekani huko ana PHD ya nini sijui na anafanya kazi ya maana! She is always busy and working! Akipata mda na mimi nikipata mda ndo tunapiga mechi kama hizi!
Mpaka tunaingia chumbani hajaniuliza huyu Kyle ni nani au anafata nini hapa na mimi nikaiminyia! Tumeingia chumbani bibi anasaula kila kitu akaenda kuoga! Anjikausha namuangalia! Najiuliza hivi Ghost nina bahati kiasi gani? Nimenyimwa wazazi nimepewa dunia na fahari zake zote kama hizi! Najilia mavituz mazuri kama Nabii Suleiman! Nimekaa kitandani natazama! If money cant buy you happiness than i dont know what is this!
Kaja kanishusha pense langu bado nimekaa ndugu msomaji miguu inaninginia chini! Kanikalia juu! Yaani msiulize switch huku ni automatic! Zishajiwasha on mda! Mtoto unamshika mkononi una enjoy! Mlainiiiii kama sijui nini! Unaweza jiona mandingo umeingoa kwenye porn movie!
Baada ya hapo mtoto ananiuliza leo nikunyonye au hujiskii? Nikamwambia sina uhakika bado nitakwambia baadae! Nikajilaza nifanyiwe kwanza massage! Kazi zetu hizi tunachoka! Nikajisikia kinywa juisi kwanza maana show ya leo usiku naisimamia na ukucha! Nikatoka! Nasikia Kyle ananongona! Nikasogea mlangoni namsikia anaongea na Hans! Wana bebishana kabisaa! Nikajua pale hamna upendoo! Nilichukiaaa! Mapepo yangu yakanipaa upya!
Nikasema huyu kesho namfukuzaa! Mi namfadhili na mwanae afu anajua Hans alichonifanya afu wana bebishana kwangu! Shubhamit! Ila hizi hasira za kesho! Leo ngoja nikalikaze toto la kiarabu kwanza! Narudi napishana nae anaenda kukoroga maziwa! Nimevaa taulo! So picha aliipata! Alistuka sijui taulo sijui nini kilimstua! Akanisalimia vipi hujalala? Sikujibu! Sipendagi unafiki mimi!
Nimerudi mtoto wa kiarabu ananiuliza kama bado naendelea kutomba au nimechoka nataka nilale! Nikasema sina uhakika! Na kweli sikuwa na uhakika! Akaniambia basi utaniambia ukijisikia kuendelea kunifanya! Nikamvuta hapo hapo! Nikishapagawaga na pepo style yangu ni ile ile ya mfungwa! Nambana mwanamke mikono afu cha moto atakiona! Huku na huku mwarabu kawa mwekundu! Nisimuite Kyle! Afu nikajishtukia! Hakisema kitu nikajua nimepona!
Nishakojoa, nimepumzika akaniuliza Huyu bonge wewe una mtomba! Mnafanyana humu si ndio! Nikawa na gwaya gwaya sio inavodhani! Akauliza umemtomba hujamtomba? Nikasema maybe mara moja sikumbuki vizuri! Akaniuliza mara moja ndo uniite jina lake? Nikasema maybe mara mbili au tatu sikumbuki serious! Na ni uroho tu ndo uliniponza! Come on Ulfat! You know my type of women! Akasema ndo nashangaaa!
Akanikumbatiaaa! Tukalala! No beef, no mchuno! Huu sasa ndo upendo! Unafumaniwa na unasamehewa on the spot! Asubuhi nikawahi kuondoka! Ulfat alibakia! Nikampigia Tina embu usiwaache Kyle na Ulfat wote nawajua MAFIA watajazana ujinga! Nani Mmafia zaidi sona uhakika!
Nikawa nasikiliza vinasa sauti! Wa kwanza kuleta choko choko ni Ulfat, akamface Kyle na kumwambia najua umelala na bwana wangu, umalaya gani mtoto anatakiwa awe anatembea huyo ila hatembei mama mtu kue dekeza umalaya kwa kasi ya 4G! Kyle akamwambia nitukane utakavo ila achana na mwanangu! Nitakupasua wewe mwarabu koko hunijui!
Ulfat akaendelea kumnyamba! Kwanza unajua Ghost wewe sio type yake! Hapendi vibonge! Tumbo lile kama una mimba ya pili! Hivi vimwili ndo ugonjwa wa ghost! Acha kula kula! Ulfat anampa tenaaa! Hapo unanyamaza usiku unainadi papa yako kwa bei ya reja reja! Kama mwanamke kweli jibu!
Kyle akamwambia sikia wewe mwarabu koko, kama kweli mwanamke na papa yako tamu sanaa na ina nguvu leo mpe Ghost mpe na matako juu afu mwambie anifukuze hapa na mwanangu! Kama akinifukuza basi kweli wewe mtamu sanaa na umekamilika! Akigoma rudi mkoleni katafute kungwi upya na nyakanga upya!
Weeeeee! Mwarabu wacha apaniki! Nakufukuza sasa hivi, siwezi kungoja arudi! Nampigia simu! Nikazima simu kabisaa! Sikupatikana! Na sikuweza kusikia maana nimeunganiaha na simu! Jioni narudi wote wamefuraaa! Nikamuuliza Ulfat nambie! Akasoma mashtaka! Nikamwambia Kyle haya muombe msamaha Ulfat! Akagoma! Nikarudia mara 3 akagoma! Nikamwambia haya na mwanao mkalale nje kwenye kibanda cha mlinzi!
Da Tina akawahi kumpigia magoti, Ulfat basi nisamehe mie, nje kuna mmbu na mtoto huyu ataumwa! Nisamehe mie mdogo wangu kwa makosa ya huyu! Ulfat akasema aniombe msamaha mwenyewe! Kyle akamchukua mtoto akatoka nje! Hakukaa kwenye kibanda cha mlinzi akaa barazani!
Usiku mtoto alilia sanaa! Sanaaa! Sijui alikuwa anamfinya kutukomeshaa sijui! Da Tina anamuomba ampe mtoto alale nae, hataki! Akasema napolala mimi na mwanangu atalala hapo hapo! Anamwambia basi twende ukaombe msamaha! Kwani lazima umaanishe si unaliomba tu senge lile for your babies sake! Akasema siombiiiii! Mwache alale yeye ndani afaidi vyote! Dada Tina mi nitaondoka hapa soon! Mungu akinifanikishia nitakuja kukuchukua tuake wote! These mathafakaz dont deserve you! Tina anamwambia hizo hasira sasa!
Usiku ulikuwa mrefu sanaa! Roho iliniuma kumlaza yule malaika nje namna ile! Ulfat alifurahi hatari si kasginda vita! Anataka mchezo! Na yule mtoto anavolia bonge ya turn off! Nikashindwa kusimamisha! Ulfat akanijia juu! Wewe unampenda bonge! Kwanini Bonge kuwa nje wewe ushindwe kusimamisha? Najielezea wapiii! Ananitukanaaaa! Nikaona too much! Nikamwambia kama vipi na wewe toka nje!Akajua masihara! Nikamburuzia nje na kufunga milango yangu na kujilaza!
Saa moja asubuhi ndo nimefungua milango! Ulfat kachukua begi lake kasepa! Kyle amekaa pale pale barazani! Nikajiandaa nikasepa nimemuacha amekaa pale pale! Macho mekunduuu! Nikaishia zangu! Sijafika mbali Tina ananipigia simu Kyle anataka kuondoka na mwananae! Nikasema hamna kumruhusu! Tina ananiambia hasikiii la muadhini, mnadi swala wala mpiga kengele kanisani! Kaambiwa kuna laser, kuna snipper automatic ila kasema kutoka atatoka hata kama maiti yake ndo
itayotoka potelea pote! Ila anatoka! Kwa hio Ghost mi nazima laser na snippers! Nikamwamvia ukizima Tina nisikukute na wewe! Anajiatia Hallo! hallo! Sikusikii Ghost!
Nikapiga simu getini! Akitoka huyo mwanamke na nyie wote nisiwakute! Nikawa na view Camera CCTV kwenye simu! Nikaona anapita kweli walikuwa wamezima! Akatoka kabisaa getini! Tina akachukua begi zake akaziweka barazani analalamika haamini kama anaondoka style ile!
Nisingekuwa naenda kwenye urgent meeting ningerudi! Ila sikuweza maana kikao cha leo na mtaliano ni muhimu sanaaa! Kikao kikakaa mda mrefu mno mno! Usiku ndo nakuja kutoka! Nikawahi kurudi! Nafika sikukuta bag za Tina, nikajua kaondoka kweli! Nikawaza nampata wapi? Ila mwanae najua alipo atakuwa kaenda huko! Naingia namkuta anatizama Tv! Kambeba mtoto! Na Kyle yupo kwenye kochi!
Wakanikaribisha! Nikasema leo wameniwekea sumu! Sio kirahisi rahisi! Nikaenda control room kuangalia! Nikaona Kyle alirudi baada ya nusu saa! So alighairi kuondoka! Sema akawa very cold! Hata nikiongea kitu hacheki cheki! Nimefika kamchukua mwanae chumbani! Mda wa kula pia hana cha kuchangia! Kanichukia kweli kweli ndugu msomaji!
Usiku kukawa na mvuaaa kubwa na umeme ukakatika! Hakuja! Ndo kwanza nikamsikia anpiga zake miluzi na kuimba nyimbo za bongo fleva! Asubuhi natoka akasema nilikuwa na maongezi na wewe! Nikamwambia unasemaje? Akasema nataka kuondoka mara moja nitarudi! Nikamwambia haiwezekani! Akasema namuacha mtoto! So lazima nitamrudia tu! Nikamwambia sawa! Akasema naomba lift!
Tumekaa mimi na yeye kwenye gari! Nikaanza kujisemesha maana alikuwa stone cold! About that night! Akanikatisha sawa mimi nilikosea, jana tumempigia Ulfat na nimemuomba msamaha! Yashaisha! Nikasema tu Good! Nisemaje ndugu msomaji! Safari ya kimya kimya! Nikamuuliza uanenda wapi sasa? Akase!a kuna lawyer wa Linda anamuita so anaenda kumsikiliza! Nikasema okay! Nikamahusha mjini!
Siku hio hakurudi! Zikapita siku 3 hakurudi! Nikakata tamaa! Nikaamua mtoto nimpeleke kwa Hans! Kama kesho nampeleka akaja! She was not bitter! Anacheka cheka! Anamwambia dada Tina mimi nishapata zile pesa twende zetu! Akaja kuniambia naomba mwanangu! Nikamwambia sikupi! Akase!a weeeeeeeeee! Ole wako! Kama unataka nikakuchomee kwa waziri hii biashara yako mguse mwanangu!
Ghost nashukuru kwa kunikaribisha kwako! My luck changed overnight, sasa nina pesa, namchukua mwanangu naonfoka nae, you wonte do anything stoopid! Tukikutana barabarani tusalimiane! Nikaamua kumuacha aende! Ashanichoshaaa! Da Tina akakataa kwenda nae akaamua kubaki na mimi!
The next thing nikasikia anaishi na Hans tenaaa nyumbani kwake! Akawa anakuja sanaa Club D! Na pesa ya kula alikuwa nayo! Akilewa lazima anitafute nilipo aniropokeee! Sometimes anisifie Ghost una roho nzuri sanaa tatizo malaya sanaaa! Mara anivue nguo kwa wateja Ghost nilishi nae akaniletea mwanamke chumbani, malaya mbwa huyu boss wenu msimuone hivi! Mara Ghost ana roho mbaya sijawahi kuona alinilaza kibarazani na mbwa wake, mimi na mwanangu usiku kucha! Mara Ghost una roho nzuri sanaa, tatizo husamehi kama siku malaika akikushukia ukatangaza msamaha kina Hans na Cookie wote wanarudi nyumbani! Ndiwoooo hapa ni nyumbani kwao na wewe ndie baba yao! Inshort ashakuwa levi la kutupwa! Analewa mpaka anazima nawaambia wamrudishe kwake!
Na kama hajalewa hakanyagi pale! Yaani anakunywa weee, akilewa sasa ndo anakuja Club D sasa kunitukana au kunisifia! Mara aniulize Jane yupo wapi? Atakuwa anakazwa na wanaume wengine mda huu! Nilijutaaa kumsimulia issue zangu!Nikawa namhesabia siku ya kuisema ishu ya aister wangu kubakwa nitampiga risasi ndugu msomaji!
Ulevi qa kupindukia anakunywa mivodka! Kikubwa Amarula ana mix na Sminorf ! Mwili ukaporomoka! Ngozi ikachakaaa! Mpaka nikawaza mwanae Linda anaishije? I was concenred! Nikaja kukuta kumbe analelewa na mama mkwe! Malezi ya hivo hivo! Hans yupo toxicated kwa pombe pia! Kyle nae yupo toxicated balaaaa!
Siku hio nikawa niko na mwanamke mwingine, si bar yangu na nchi huru hii! Akaniona weeeee! Kosaaa! Akaanza kunitukana kama kawaida! Akaingizia sasa ishu ya dada yangu! Siku hii ndo alivuka mpaka! Akasema wewe kuwalala dada wa wenzio huoni kesi, ila dada yako kulalwa na kupewa mimba uliona hatari sanaaa mpaka ukamuua shemeji yako! Yaani siku hii ndo alivuka mipka! Nikasema nitachomfanyia hatokaa aingie club D!
Tulw mwanamke akastuka na mambo ua kuuna! Akaaga akaondoka! Nikabakia mimi! Amelewa chakariii! Nikawaambia mbebeni mpelekeni ofisini kwangu!Wakaanza kushikwa woga! Nilikuwa sitaniii! Wakamuingiza nikawaambia tokeni!
Lenyewe halijaliiii! Nikamwambia Kyle unanitaka bado kwanini unaniletea mambo ya kisengery sengery!? Yule mwanamke dada yako? Kina kuuma nini? Sasa leo nishapanga lazimamnilale na mwanamke, nalala na wewe leo taka usitake! Labda ndo utaniheshimu!
Ukitaka kujua nguvu ya malaya jaribu kula papa yake bure! Akakurupuka mbwa wewe sikupi uchi wangu hata unishikie bastola! Niliapa nikikupa hii papa mimi nikiwa hai basi ioze itoe funza! Siwezi kukupa! Labda uniue kwanza ndo unile!
Kwanza sahivi kakaukaa, nguvu 2, kabakiza nguvu ya mdomo tu! Dakika zangu 2 tu nimemuinamisha kwenye meza nimemkunja nimekula zangu chuma mchicha taratibuuu! Walevi wana utamu waooo! Analalamika Ghost hii umenibakaaa sijaridhia kwa hiari yangu! Mara aseme msenge unajua kubaka vizuri mpaka basi! Nitakuwa nakuja kila siku unibake tena!
Kati kati ya kuadhibiana na kubakana akaanza kuonesha ushirikiano yeye mwenyewe! Hata kumkunja ikawa haina maana! Ananikatia kiuno mwenyeweee! Analalamikaaa kama anatiwa na mandingo kumbe mimi tu ndugu msomaji! Wanawake hawa anaweza kukutia upepo ukajihisi mandingo kumbe kibamia anakuchuuza!
Analamika hapoo hapooo babay sugua viziriiii! Sshsssshhhh! Ghsot! Unanijuliaaa! Aaaaaaah! Aaaaaaahhhh! Sasa hivi vilio vyake ndo vikanitia mshawasha wa hatari! Nilipanga nipige mechi ya fasta fasta maana nilimfunua gauni na kufungua tu zipu! Nikaona hapa inalazimu tuvue tu zote! Ofisi kubwa hii ina kochi na kapeti! Haitatosha!
Nikamvua nguo zote, na yeye akanivua! Ananiambia i missed you baby! Nifanye kama siku ile ya msibaaa! Please baby! Hapo ashakaa mwenyewe mezani miguu kaitanua! Nikampelekea mashine tu ikawa haina namna! Alinivuruga ndugu msomajiii! Mechi hizi za ghafla ghafla zina mabalaa sanaa!
Meza haikutosha tukahamia kwenye sofa! Alipania kunimalizia ufundi wote, na mimi nilipania kummalizia ufundi wote! Mara ananiuliza Ghost hutakiii mototo wewe? Nikawambia nataka! Akasema naomba baby nikuzalie mtoto please! Nikawambia nizalie wa kiume please baby! Hapo akili ya papa ndugu msomaji! Sio mimi!
Tukiwa kwenye kochi sasa mambo yanogile akaingia Hans! Tulistukaaa! Yeye alistuka zaidi maana mi najiamini Hans cha kunifanya hanaaaa! Hakufanya vagi wala nini, akamwambia tu Ulinifumania, na mimi nimekufumania so sasa tumelipana, ngoma droo! Twende nyumbani! Alipanic akawa anavaa vaa ilimradi akaondoka na Hans!
ITAENDELEA MKINUNUA AMARULA