Weekend story! BEN 10

Weekend story! BEN 10

Too bad umesema hutaki hela za wanawake wenzio
Ningekutumia kilo shost
But I respect your decisions
Tatizo wanaume wengi jf ni marioo tu
Ukiwategemea imekula kwako
Sorry to say that but it's the truth
Wengi wadangaji;team njaanjaa, ukiwapapasa watoka na unga
They broke as hell, trust me
Mwenyewe nashangaa wanavyopenda kuteleza!! Bila aibu yanasifia story kutoa Amarula hayataki.....nyie wenye mabwana zenu humu mnasoma hadithi na kutag km kote ebu muwaimize na kutoa Amarula.
 
UNANITEGAAA! Shoga nashukuru kwa moyo wako! Kufeli maisha kuna stages na sijafika ya kuwalieni wanawake wenzangu pesa zenu! Ukishaanza kuchuna wanawake wenzio yani baaas tena!

Afu wanaume wa humu EMPTY SET kabisaa! Mimi sio kwamba nina shida kihivooo nashindwa kunywa Amarula! Tatizo ili niandike mambo mazuri lazima ninywe! Kwa siku 32,000 na nisha jicommit kuwaletea story! Kwa mwezi ni 900,000 ya unywaji tu hio jamani! Si naishi apartment kabisaa! Mnionee imani! Ndo maana kila mtu akitoa siku moja sio kesi si mnafaidi wengi! Ila asiwe mwanamke!

Wanaume fanyeni kukasirika basi
Wanaume wengi wanaosoma hii story kina Uchebe ila usijali KLM fanya km Shishi beibe wasambazie raha tu!
 
Awa wanaume wanataka tuwataje majina eee!!!
Ndo watoe ya amarula
 
Nyani Ngabu upo baba? wasichana wanatutukana sana hapa. Tokea ulimwengu huu unaumbwa sisi tu ndio wahongaji, sasa upepo umebadilika wao ndo wanatakiwa wahonge sasa wamekuwa wakali sana. Na ww lara 1 shetani huyu wa amurula amekuanza lini? wee si ulikuwa unakunywa Serengeti wewe!!!
 
Nyani Ngabu upo baba? wasichana wanatutukana sana hapa. Tokea ulimwengu huu unaumbwa sisi tu ndio wahongaji, sasa upepo umebadilika wao ndo wanatakiwa wahonge sasa wamekuwa wakali sana. Na ww lara 1 shetani huyu wa amurula amekuanza lini? wee si ulikuwa unakunywa Serengeti wewe!!!
Ushawahi kwenda leba wewee?.basi endelea kula kwa jasho baba hamna namnaaa
 
Huwa sisomi kabisa ishu za huyu demu.....Dishi limeyumba kupita kiasi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom