Amani iwe kwenu wana MMU,
Nipo jiji la mishemishe DSM, natamani kutoka out na wadogo zangu. maana nimechoka, nahisi nitapata nguvu mpyaaaa......
Sehem tunaweza kwenda tukashinda kama siku nzima, tuwe na activities nyingi za kufanya. iwe hapa hapa mjini au hata nje ya mji ila isiwe mbali.
Ideas please. Najua huku mko wengi na mna mengi
Sent using Jamii Forums mobile app