basi sorry wewe ni Me, kumradhi sana. Nisamehe.Vyovyote pia hata kama umeona ni mama yenu hakuna tatizo bwashee , ila karibu pombeš
basi sorry wewe ni Me, kumradhi sana. Nisamehe.Vyovyote pia hata kama umeona ni mama yenu hakuna tatizo bwashee , ila karibu pombeš
Sasa bwana shamba lifufueJukwaa la uvuvi ufugaji na kilimo linatia sana huruma
NomaInasikitisha sana
Fanya hivyo mkuu.Nitaweka post kadhaa mniunge mkono
Ngoja nikawakaribishe wageniJukwaa la Utambulisho...
Nakuonaga sana kule.. Unastahili maua yako kule
Ngoja nikawakaribishe wageni
Tuache tena yafufuke kuna watu wanahitaji maarifa kupitia majukwaa hayo kiongoziHahahah tuwaache tu bwashee
Sure broTuache tena yafufuke kuna watu wanahitaji maarifa kupitia majukwaa hayo kiongozi
Jukwaa la dini linahitaji wachawi wengi ili liwe na vibeKina majukwaa yako dormant Sana.. Hayana engagement za kueleweka.
Kama kuna mojawapo umeliona litaje kuna dedicated team ilifufue
min -me toa mwongozo