Umewaza nini kiongozi?Kina majukwaa yako dormant Sana.. Hayana engagement za kueleweka .. Kama kuna mojawapo umeliona litaje kuna dedicated team ilifufue
min -me toa mwongozo
Sheria, it is as if humu hakuna wanasheria. na kama kuna watu wana roho ya kutu ni hao wanasheria. Huwezi uliza kitu ukapata comprehensive response!Kina majukwaa yako dormant Sana.. Hayana engagement za kueleweka .. Kama kuna mojawapo umeliona litaje kuna dedicated team ilifufue
min -me toa mwongozo
wewe uwa unalike kila post.....huna makuu, nadhni utakuwa mama yetuKaka mimi sina mwongozo zaidi ya kunywa pombe tu bwashee 😅
Vyovyote pia hata kama umeona ni mama yenu hakuna tatizo bwashee , ila karibu pombe😊wewe uwa unalike kila post.....huna makuu, nadhni utakuwa mama yetu
Drink 🍻 save waterKaka mimi sina mwongozo zaidi ya kunywa pombe tu bwashee 😅
Umeachwa tenaInasikitisha sana
basi nafuta andiko samahani! Ni Mr?Sio mama huyo loh😂😂😂😂