KakaKiiza
Platinum Member
- Feb 16, 2010
- 11,952
- 9,469
Halafu nikiiona nimtoe mtu roho???Owakibanja toikunyendela ge o'kwonakubona mrumuna!!
Mimi nawaangalia halafu wewe naona unanitafuta kidonda kibichi unakisugua kwa gunzi fikiria uchungu wake halafu unipe jibu!au unatafuta kesi na mimi naona unashadadadiiiiiaaaaa!!nikiachika ili iweje au uko tayari mwenzangu kucover pengo litakalotokana na nakuachwa???
Sasa kam ayupo feri anaongea pekeyake suluisho nikumpeleka kwa Madame B akamuimbie ngoma za kitanga!
Wambie my nyonda!baelezee baelewe!wee ishia hapo hapo mie nimeshazoea wazee matatizo siyataki
Last edited by a moderator: