mimisa huyu Bishanga asikuumize kichwa.. toto lake manoah ameliharibu lenyewe.. kulidekeza ati like faza like san.. Mtoto amekuwa samaki hapishi chambo.. kila kipitacho mbele yake anakitolea macho.. Lol..
stevoh habari za nyumbani kwako bana
Nasikia mzigo wa juzi wa kamanda Boaz ukitoka mitaa ya kwenu hizi habari zina ukweli wowote au ni story tuu na nasikia kwa namna moja unahusika na Erickb52 na Arushaone
Kwenye taarifa habari ya ITV saa mbili usiku nilimuona mtu kama Arushaone na bangili mkononi.. anaonyesha mzigo mwingine alioufunika na viroba.. lol.. Halafu Erickb52 fujo zote hizi kumbe zungu la majani...[/QUOTE sosoliso una akili sana wewe!

ha ha ha Bishanga.. hatua aliofikia mwanao cidhani kama amu atakuwa tayari kujitwika tatizo.. unless kama amu kapewa maagizo na mganga wake amtafute mwanaume wa kumtoa kafara.. lol..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.