Wedding Anniversary

ha haaaaaaaaaaaaaa, hilo ni dongo rafiki? zawadi imefika, with thanx

You know it is not that easy for a man to put up with a woman for 13 years.
So, there must something special from other side as well. It takes two to tango, they say.
Ndo maana nimemtumia mkuu wa kaya zawadi pia. Atakuwa siyo dhaifu huyu.

BTW unawajua hawa SnowBall na snowhite? Ni ndugu?
Kuna sehemu nimeona pameandikwa SnowBall and snowhite like this. Imependaza kweli.
Halafu how do we pronounce snowhite? snow-hite or sno-white?. Confused!
 
sisi ni mapacha tumeachiana ziwa kwa mama yetu!
snowhite inatamkwa Snow-WHite
 
Asante sana, ni kweli mkuu wa kaya si dhaifu, ndo maana tumefika hapa, na naamini tutaendelea zaidi.
hawa ndugu nawafahamu; snowhite ni mlongo wangu na huyo SnowBall ni pacha wa mlongo wangu, wanafwatana hao kila sehemu wapo pamoja. kuhusu utamkwaji wa jina lake ngoja atakuja mwenyewe sasa hivi kudadavua
 
Last edited by a moderator:

AHAAHHAHAHH dada bora huwajua walio wake!tunavofatana na pacha wangu wacha kabisa !hili swali wanajiuliza wengi kweli kweli!wengine hudhani siye ni mke na mume eti!
 
Hongera sana @FP,

Ni jambo la kufurahisha sana kufikia hatua hiyo....

Hebu tujuze...njia yako imekuwa tambarare muda wote??

Mungu akubariki sana na kila la heri....

Naona kidogo nisahau...tunasherehekaje sasa??

Babu DC!!
 
Hongera sana @FP,

Ni jambo la kufurahisha sana kufikia hatua hiyo....

Hebu tujuze...njia yako imekuwa tambarare muda wote??

Mungu akubariki sana na kila la heri....

Naona kidogo nisahau...tunasherehekaje sasa??

Babu DC!!
Babu nilikuona hapa uwanjani muda mrefu sana, nikawa nasubiri kwa hamu mambo yako. asante sana babu.
Sidhani kama kuna kapo hapa inaweze kushuhudia wamekaa miaka mitatu wakiwa na njia tambarare............. inawezekana, mimi sijui. hivyo hivyo kwetu, miaka 13 ni michache sana, lakini kwa kuishi na mtu mwingine, hata kama ni mtoto wako au mama yako ni mingi sana kutokea kusiwe na ups and downs. Kwa msaada wa Mungu kila kitu kinawezekana babu
 

 
Last edited by a moderator:
Hongera sana FP
Kweli ni muda mrefu na maombi yangu ni kuwa azidi kukujalia kila jema katika maisha yako ya ndoa
Iwe ya heri na baraka
 
Last edited by a moderator:

Asante kwa huo ufafanuzi kudhibitisha yaliyosemwa na snowhite na SnowBall. Kwetu pia tupo hapo jamvini wote. Yupo MTM, FJM, EJM jfm na mie EMT. Sie zote ndugu pia, ila tofauti na akina Snowwhite na SnowBall, sie baba mmoja mama mbalimbali. Ila baba yetu siyo dhaifu kihivyo. lol.

Tupongezaji tafadhali.

 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Hongera sana dada!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…