hongera mwaya @FP, MUNGU Akujalie maisha marefu yenye baraka. mpate wajukuu, vitukuu na vilembwe.
mwisho mtegemee sana Mungu ndiye mlinzi wa ndoa yako tangu day one mpaka leo. Amen!