bora umekuja dj,hapa tulikuwaje wakavu wa muziki!
Umeona ee mlongo wangu, kweli palikuwa pakavu............. lakini yale mashairi yametishaje!bora umekuja dj,hapa tulikuwaje wakavu wa muziki!
asante sana kwa kuniunga mkono, ni kweli nafurahi sana kuona nina watu wanaonitakia mema kiasi hiki, nafarijika mno yaani. nawapenda wwwwwwwoooooooooooooooooooottttttttttttttttttteeeeeeeeeeeeeee ambao mnanifanya nijisikie napendwa, Mubarikiwe sanalol! haya bana naona umeshanipa wadhifa ambao siustahili ππ...Acha tumuunge FP mkono ili afurahie siku yake kubwa na tukufu.
Babu nilikuona hapa uwanjani muda mrefu sana, nikawa nasubiri kwa hamu mambo yako. asante sana babu.
Sidhani kama kuna kapo hapa inaweze kushuhudia wamekaa miaka mitatu wakiwa na njia tambarare............. inawezekana, mimi sijui. hivyo hivyo kwetu, miaka 13 ni michache sana, lakini kwa kuishi na mtu mwingine, hata kama ni mtoto wako au mama yako ni mingi sana kutokea kusiwe na ups and downs. Kwa msaada wa Mungu kila kitu kinawezekana babu
ahahahhahaa nimefurahi kwa kuyapenda!dadangu!Umeona ee mlongo wangu, kweli palikuwa pakavu............. lakini yale mashairi yametishaje!
yaani bado nayakariri
Amen, asante sanaHongera sana tunakuombea ufikishe hadi miaka 45...
ha haaaaaaaaaaaaa, utu uzima dawa babu yangu weee, najua watu wazima tunaelewana tukisema hivi, lol!Hivi kumbe na wewe ni lawyer enhhhhh??
Mie nilitegemea udondoshe kama bulltes 10 hivi kuelezea kile ulichokiona toka day zero halafu unasepa?
Haya dada yangu @FP, nimekuelewa na ishia hapo usiwatishe watoto!
Babu DC!!
yaani nimeyapenda sana na yanazidi kunitia nguvu. Ubarikiwe sana mlongo wanguahahahhahaa nimefurahi kwa kuyapenda!dadangu!
asante sana kwa kuniunga mkono, ni kweli nafurahi sana kuona nina watu wanaonitakia mema kiasi hiki, nafarijika mno yaani. nawapenda wwwwwwwoooooooooooooooooooottttttttttttttttttteeeeeeeeeeeeeee ambao mnanifanya nijisikie napendwa, Mubarikiwe sana
nawe baraka zikafunike nyumba yakoyaani nimeyapenda sana na yanazidi kunitia nguvu. Ubarikiwe sana mlongo wangu
wala usijali tunaelewana kuliko maelezo!ENJOY UR DAY mamiie!ha haaaaaaaaaaaaa, utu uzima dawa babu yangu weee, najua watu wazima tunaelewana tukisema hivi, lol!
Amen FirstLady1 (aka mama mchungaji). kwa kweli nakufagiliaga sana kwa maombi. Thanx alot, na iwe kama ulivyoombaMay the good Lord see and bless you,
On your anniversary day.
May He always be your companion,
And guide you on your way.
May your bonds of marriage strengthen,
Holding strong amidst all fears.
And may our friendship stay untarnished,
Through the wearing of the years.
****love you FP and family****
Amen Thanda..... wala hujachelewa my dearNimechelewa kidogo kuiona hii.....Happy Birthday. Yako ni tarehe 9.10, na yangu ni tarehe 10.9
May The One Who Is The Way to Eternal make you stand confidently before drastic and happiest women on earth.