Nionavyo mimi website ya Rais J.Kikwete ni kama hiii ifuatayo hapa chini.Kama mna malamiko yoyote mnaweza kupeleke malalamiko yenu katika email hapo chini au fax pia
Ile website nyingine imecukuwa Icon kama za website hii, lakini kuna tafauti. Ingieni katika website zote mbili na mtaona tafauti yake.
http://www.estabs.go.tz/index.php
The President's Office
Public Service Management
P. O. Box 2483
Dar es Salaam
TANZANIA .
Phones/Fax :
General Lines: +255 22 118331
+255 22 118332
+255 22 118333
+255 22 118334
Telex: 41927 utumishi tz
Fax : +255 22 131365
E- mail:
permsec@estabs.go.tz
Nilijaribu kupeleke email katika hiyo website Jakaya Kikete.com na majibu yake ni haya hapa..
JakayaKikwete.com
» Home » Thanks Thanks
Thank you for contacting us. We will respond to your question/comment as soon as possible.