Wakati huo huo rais ana face book pages zaidi ya 3!
1
http://www.facebook.com/people/Jakaya-Kikwete/1172949841
2
http://www.facebook.com/Kikwete
(cha ajabu mpaka Max Shimba naye rafiki yake)
na hii ndio twitter page ya kikwete
http://twitter.com/Kikwete
halafu amemsifia JK kwa utendaji mzuri
What one bad thing did Mr. President did and/or doing? Let us be real people!
Kuachia ufisadi. R u goin to deny kuwa sio fisadi?
Duh mkuu wangu! itabidi nikuone maanake mwenzangu uko jikoni..na joto naliweza...tuunganishe nasi tujikomboe kimwili manaake kifikra JF unatosha..Lol!I know him personal. I don't see any evil he personal did and/or doing to the Country.
Noo bwana shy.....rire ri blog lipo tangu mwaka jana lilifunguliwa August 2008....hio miaka mitatu umeitoa wapi?Ndugu hiyo blogu ipo karibu mwaka wa 3 sasa nadhani wewe umeiona juzi
mkuu Ikulu sio kikundi bwana mkubwa.....ile ni seemu nyeti sio kikundi ch watu fulani.....sehemu nyeti kama ikulu inapaswa kuwa na Tovuti ambayo ndani yake inakuwa na blog.....inaweza kuitwa....ikulu.co.tz/blog .....hata hivyo mtu au kikundi chochote kiko huru kuwa na blogu yako inayowasilisha mawazo na habari zake wao ikulu wameona njia nzuri ya kusambaza habari zao ni kupitia blogu hiyo inawezekana hawakuwa na bajeti ya kutosha wakaja na kitu hicho
bwana mukubwa.........lile jukwaa limekuharibu akili.......uwe unasoma na majukwaa mengine au soma thread zilizopita jukwaa la siasaI don't think so. He is not. No body so far has forwarded tangible exhibit. When you put a claim and/or constructive argument, wekeni watertight exhibits, na sio habari za mitaani, it doesn't help anybody.
I don't think so. He is not. No body so far has forwarded tangible exhibit. When you put a claim and/or constructive argument, wekeni watertight exhibits, na sio habari za mitaani, it doesn't help anybody.
Halafu wazee wangu kwa nini tusijaribu kui promote JF na facebook yetu kwa Watanzania wote?..Hii habari ya majukwaa tu inatulemaza sana.
Umejibu nusu nusu. Sawa tuseme yeye sio fisadi na hajawahi kutumia pesa za umma kwa kujiendeleza mwenyewe. Je na hao waliomzunguka? Mbona anakaa nao na kucheka nao? Kina Rostam, sijui kama umesoma ripoti ya Meremeta, nk. Yeye yupo yupo kazi kucheka. Nchi inaliwa wazi wazi, alafu unasema hana makosa. Basi, he is unfit to run the country. Au hapo utasemaje?
bwana mukubwa.........lile jukwaa limekuharibu akili.......uwe unasoma na majukwaa mengine au soma thread zilizopita jukwaa la siasa
You are missing alot.
First: Who let Rostam kuwa Mbunge wenu and who has the authority kumtoa ubunge? Hii ni term ya ngapi huyu Rostan anayo kama mbunge? Is it the President made a veto clause kumpa Ubunge au ninyi walala hoi? Now, why are you holding responsible Mr. President kwa makosa yenu ya kuendelea kumpa ubunge Rostam while consciously knowing that Hon Rostam has merits and integrity issues, if any?
Naona kila argument unataka kumwingiza Yesu. What are you trying to prove? Anyway, tuendelee...Yesu alipokuwa na Yuda, kumbuka Yuda alikuwa hajaasi.Second: Even Jesus was with Judas Eskariot, does it mean that Jesus is the same as Judas and/or Jesus was compromising with Judas E?; Or are you trying to say that all of the disciples are like Judas E? Your argument that Mr. President is doing nothing is weak and still lacks merits and is unpraiseworthy.
tell me...when was the last time 'the law' acted against someone a top government official in Tz? Tumekuwa na scandal ngapi tangu Kikwete aingie madarakani na zimeishia wapi? As the leader of the country - the buck stops with him. Na yeye ame-fail.Third: If the pioneers are capable of verifying openly mafisadi, I am sure the law will take its cause and be executed against those fisadis, iter-alia, Mr. President. Justice is not blind. To date, none has come forward with verifiables truth and/or allegations that Mr. President has failed to act on, and/or acted wanton disregard capricious and unjust.
Ametimiza ahadi zake za uchaguzi? Watanzania wanaishi katika maisha bora zaidi? Can you give us his achievements basi...kwa kusudi ya fair argument?Fourth: Jakaya Mrisho Kikwete is fit, capable, and still able to lead Tanzanians.
Consequently, you have failed to provide any explanation for normative force of involuntariness in Mr. President's failure to deal with his responsibilities as the President of the United Republic of Tanzania.
sijaelewa hapo unasema nini!!God bless Mr. President and God bless Tanzania
Max Shimba, A Bondservant of Jesus Christ.
Your incompetence is the main reason JK and Ikulu seem useless. Hacheni kumpeleka vibaya walau amalize utawala wake kwa umakini. Mmefanya Ikulu kama kijiwe cha kuuza kahawa, kila mwenye porojo na kutafuta udaku anaweza kwenda akapiga story na ikiwezekana apate cheap earning! Give us a break, dont make Ikulu that cheap.El Toro said:Baada ya kusimama kwa muda wa takriban siku 75 kupisha kampeni za Rais Jakaya Kikwete na Chama Cha Mapinduzi, Blog ya Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu imeanza tena kurusha habari za Rais na Urais kutoka Ikulu.
Tembelea kurasa zetu Ikulu Mawasiliano
kwa habari za Ikulu na za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete.