Website ya IKULU na miradi ya COMPUTER ya Serikali

Duh! sina Comment!

Explains a lot.
Ushauri wa bure
Ukiona ndugu yako anashikiwa bango, heri uambae ujikalie kimya.
Ukiona mshikaji wako anapewa vidonge vyake, bora ubane kama vile haupo.
Ukiona JF inamkoma nyani giledi umjuae, jaribu kutomtazama uso.
Ni ushauri tu.
 
sawa ni personal assistant to he President

umeridhika?
msaidizi wa nini? maana hata dereva,mpishi,katibu mahsusi wa jk ni wasaidizi wake hujamalizia....weka sawa sawa........mkuu tusizungushe mada JM nae yumo kwenye mkumbo wa uwajaibikaji wa ikulu kimawasiliano....
 
tatizo mnataka tmjadili staff mmoja wa Ikulu ambaye hahusiani na hiyo blog wala website ya Ikulu halafu wahusika hamtaki kuwagusa wala kujadili sasa naona tushafikia kwenye deadlock

basi endeleeni na episodes zenu

mie ngoja ni catch up na Entourage na True Blood
 
hapa ndio uliharibu......

woote wabovu ila wewe umeleta uswahiba kumuondoe JM ati hahusiki.....
 
Ndugu hiyo blogu ipo karibu mwaka wa 3 sasa nadhani wewe umeiona juzi hata hivyo mtu au kikundi chochote kiko huru kuwa na blogu yako inayowasilisha mawazo na habari zake wao ikulu wameona njia nzuri ya kusambaza habari zao ni kupitia blogu hiyo inawezekana hawakuwa na bajeti ya kutosha wakaja na kitu hicho
 
Hiyo blogu hata mimi nilipoiona nikaishiwa kauli. Kwamba huko ikulu hakuna mafungu ya kutosha, au walioko huko hamnazo kichwani. Ndiyo Bongo yetu hiyo. Hivyo hivyo....
 

Kama wamefungua blog yenye jina la ikulu au idara ya ikulu lazima iangaliwe kwa karibu kabisa kwa kuilea na kuhakikisha kila wakati ianataarifa zinazokwenda na wakati haiwezi kuachwa miezi mitatu au minne ndipo ikumbukwe huo ni uzembe na uvivu na ukosefu wa mbinu za kuendesha hiyo blog

Pili wasigeuze ikulu ni nyumba ya baba zao au mama zao ni yetu wote, waache ubinafsi ,wangewatumia vijana pale chuo kikuu (Waandishi) hawa wangefanya mafunzo kwa vitendo pale (internship) hao wangeweza hata kuendesha website ya serikali na hiyo blog lakini kutokana na uroho wa akina salva na akina maro wanadhani vijana wakiingia pale watanyanqanya nafasi zao.
Hebu waruhusu vijana wafanye internship hapo waweze kuupdate hiyo blog hata kuwa na website.
Kwani gharama ya website ni shilingi ngapi ambayo ikulu wangeshwindwa kulipa wamepanga chai na vitafunwa kwa bilioni 19 watashindwa kulipa kuanzisha website kwa dola alfu hayo ni mashara msitugeuze wote mbumbumbu bei za kufungua website zinajulikana au wanataka kuanzisha website yenye mkonga wao.
 
Hapana mkuu GT, tuna recycle kubana matumizi na kutunza mazingira hasa yale ya Ikulu!

Kwenye issue ya mazingira Ikulu hawawezi kusifiwa kama huamini nenda kule nyuma barabara ya Ocean road uone walivyo katakata miti kisa? eti wanaongeza parking spaces!!!!

Naamini hawakureplace ile miti kwingine kwa sababu akili hiyo haipo na hawana
 

wazo zuri lakini nadhani unajua ni watoto wa akina nani watakaopata nafasi ya hizo internships
 
mimi nadhani wataalamu wa ikulu tujitolee kutengeneza website ya ikulu. Hiyo ndo image ya taifa letu.
 
mimi nadhani wataalamu wa ikulu tujitolee kutengeneza website ya ikulu. Hiyo ndo image ya taifa letu.
Au tutafute muwekezaji manake sisi ndo kazi zetu kila kitu tunahitaji muwekezaji, sisi mabebilon bwana, kwa hiyo kazi hatuwezi ila kuwaachia wanaoweza it is possible
 
Mlitegemea nini kutoka kwa banyamulenge? Hapo ndio kafika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…