Website ya Clouds FM kimeo

Clouds FM mnaojiita redio ya watu, kwanza niwapongeze kwa kujitanua mikoani, kwa sasa mnapatikana hadi vijijini. Hii ni hatua muhimu sana.
Shida moja kubwa ni kwamba tovuti yenu haijawa updated tangu mwaka 2007, yaani akina Masoud Kipanya bado ni watangazaji wa Clouds Fm hadi leo ilhali hatuwasikii tena. Tovuti yenu bado ina matangazo ya kampuni fulani ya simu ilhali kampuni hiyo ilishabadilishwa jina. Hivi mnataka kutuaminisha kwamba hamjayaona haya? Kwamba hamna uwezo wa ku-maintain website? What a shame! Badilikeni bwana!

Najua akina Babra Hassan, PJ, Too Short, Gea Habib, Dina Marios na wengine huwa mnapita hapa JF, naomba muwaambie wakubwa wenu wa-update hiyo tovuti yenu.

wanajitanua kwa kuwaibia na kuwadhulumu wanyónge? wizi mtupi
 
ahhaaaa ahhaa hwa nao misifa kweli wanajiona wao ndio wapo juu kumbe kushneyyyy
hapo big up mwana mabishoo uwa hawadumu huo mwanzo.
Conquest
 
Mzee hilo ni suala la taaluma na siyo kupiga mdomo tu na ujanja ujanja? ukosoaji wenu ni mzuri ila muweni watu makini ndugu zanguni.
 
Niliwahi mwambia Kipanya kwamba hawa jamaa wako busy na Fiesta wamesahau kwamba wana website.
These guys a busy making money. Biashara ya website hawaijui.
 
Kwani wazee wa Jahazi hawalijaona hilo jameni akina Kapteniii na Kimutelemko(Kibonde)
 
kwan wale wana taalum yoyote?

ovyo sana
wanyang'anyi wakubwa hawa!
 
Kweli nyani haoni kundule lake, hawa jamaa WAJUAJI wa clouds tena kupitia kipindi chao cha Power Breakfast show huwa wako mstari wa mbele kukosoa mambo mengi sana lakini leo nimewabamba. Website ya clouds haifanyiwai marekebisho kwani mpaka sasa inaonyesha watangazaji wa PB ni kina Kipanya duh. Gerald na Barbara mnakumbuka jinsi mlivyoikosoa website ya ikulu kuwa haiko updated vipi huu ukurasa wenu hapa??? http://www.cloudsfm.co.tz/cont_pbfast.phphttp://www.cloudsfm.co.tz/cont_pbfast.phphttp://www.cloudsfm.co.tz/cont_pbfast.php
Sio web site tuu kimeo,watendaji wote wa clouds ni vimeo kupindukia!!
 
Back
Top Bottom