BobKinguti
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 228
- 87
Mozzila ndhani sasa hivi developer wake wengine ni mamluki wa chrome. Wanatoa update kila siku, na smetime crash sana.
Kama wewe unahitaji apps nyingi na addons basi mozilla bado inafaa . lakini kama shida yako ni kutumia mtandao tu bila mahitji mengine basi chagua kati ya chrome na IE

IE ni maarufu kwa sababu inapatika kwenye PC zote unazo nunua by default, na ndio officialbrowser...Maofisikaribiamengihuwa hawaruhusu kuweka browser nyingine zaidi ya IE.
Ni kweli maana kuna programme nyingi ambazo microsoft wanazo na wanaziuza bei ghali, lakini hapo hapo kuna za bure (freeware) ambazo watu wengi hawana taarifa nazo kama vile open office, mbadala wa microsoft office, vlc kwa ajili ya video & audio player mbadala wa window media player na nyingine nyingi sana. Lakini yote haya ni katika biashara hakuna anyetaka ushindani katika dunia hii ya kibepari.Ninacho taka kuzungumzia humu ni kwamba IE inaonekana kutumika sana katika PC na laptops/tablets kufuatia historia ya niliyo eleza hapo na ni watu wachache nanao juwa kuwa kuna browser nyingine nzuri tu mbadala - nafikili ignorance ime-contribute sana katika hilo lakini naona gap kati ya IE.x na browser nyingine inakuwa narrowed at a lightening speed.
Hiyo ndiyo mpango mzima jamani!Ikko faaaaaasta sana!goooooooooooooooogle chrome, try it u will apreciate