Kama ela anazo kwa nini asihudumie!!!!!!!!!
we fanya yako muache rafiki yako afanye yake!!!!
Kweli kuna wanaume mapoyoyo..khaaaa!!!!
Afu naona wadada wapenda mteremko wanavyosapoti, lol....
kwani wa sukuma mkokoteni sio watu sterio type nyingi sana humujinga hilo anaudumia mzgo wana kaza wasukuma mikokoteni
chaa ajabu yee kulipa kodi au kumnunulia gari...kina papa naniliu wanaonga meli,mijumba na wanagonga siku moja moja...afu siri ya mtungi aijuae kata huwezi jua jamaa ako kadatishwa na nininina jamaa yangu ana demu wake ana mgharamia kila kitu
1. Nyumba anamlipia dola 800 kwa mwezi,
2. Kamnunulia gari fortuner,
3.matumizi yote anagharamia chakula, mavazi ya gharama, na amtumizi yote,
jamaa kashtukia demu anapiga kazi za nje na alimbana mdada akakubali kwani kuna siku hakulala nyumbani na alikiri kweli amelala nje na mtu fulani.
Jamaa alichuna kama siku 5 baada ya hapo akamwita demu akalia sana halafu yeye eti ndio akamwomba demu wake msamaha na anaomba waendelee na mapenzi yako. Demu kamsamehe jamaa na sasa hivi wamekwenda dubai kwa mapumziko.
Kwakweli huyu rafiki yangu mimi nimeshindwa kabisa kumuelewa akili yake.
Huo sio upendo ni ujing.a!
Nina jamaa yangu ana demu wake ana mgharamia kila kitu
1. Nyumba anamlipia dola 800 kwa mwezi,
2. Kamnunulia gari fortuner,
3.Matumizi yote anagharamia chakula, mavazi ya gharama, na amtumizi yote,
Jamaa kashtukia demu anapiga kazi za nje na alimbana mdada akakubali kwani kuna siku hakulala nyumbani na alikiri kweli amelala nje na mtu fulani.

u.jinga ni nini?
Huo anaoufanya huyo jamaa!!
kwanini ni ujinga?