We unaweza kupenda hivi?

We unaweza kupenda hivi?

Aiseee....... kupendwa ndo huko kumbe bado wapogo wa style hiyo eeehhh!!!
 
Nina jamaa yangu ana demu wake ana mgharamia kila kitu

1. Nyumba anamlipia dola 800 kwa mwezi,

2. Kamnunulia gari fortuner,

3.Matumizi yote anagharamia chakula, mavazi ya gharama, na amtumizi yote,

Jamaa kashtukia demu anapiga kazi za nje na alimbana mdada akakubali kwani kuna siku hakulala nyumbani na alikiri kweli amelala nje na mtu fulani.

Jamaa alichuna kama siku 5 baada ya hapo akamwita demu akalia sana halafu yeye eti ndio akamwomba demu wake msamaha na anaomba waendelee na mapenzi yako. Demu kamsamehe jamaa na sasa hivi wamekwenda dubai kwa mapumziko.

Kwakweli huyu rafiki yangu mimi nimeshindwa kabisa kumuelewa akili yake.
Tunazisubiri fedha zake Dubai, mwache atumbue!!
 
hahahahaahha,good girls always hate golddiggers...not bad though,i see TS PURE JEALOUSY..cz u see she effortlessly has a life sooo fly akiwezeshwa na sponsors..of which u sweat too much for...take it easy darling...
and yaelekea hujawahi tendwa wewee...siku yakitokea maybe then u will know better how to deal with men.....who said kwamba ukitaka hela ya mwanaume then yako hutafutii??..enewei goodnight

hicho ni kipaji mpenz mimi sinaaa....
wala sina jealousy ya kuchuna mim nina jealousy ya maendeleo dearest...
 
Na akichoka jamaa demu anaingia mitini, Kwel wanaume tumeumbwa mateso
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom