We MBIBI umechemka kwenye video ya mhe.Temba!!

Nimeiona Jana nimecheka weeded mpaka basi. Bibi mwanya.. Kitu less wig hahaaaa hafu akiwa Na Temba Na alivyo mrefu basi wee burudanii.
 
mi naona bi mkubwa anakamilisha mzunguko wa bongo flava
kwani ilianza na "vijana" kisha "madogo" wakaingia kundini tena kama sikosei
kupitia hapo hapo kwa mr. temba na sasa "watu wazima/wazee" wanaingia kundini kupitia
huyo huyo mr. temba.
 
khaa!mara hii nimekuwa mijitu minigine?wat do you mean?ny,video umeiangalia sawa sawa?umri ule ur mamy o ndgu yako yoyote anaweza fanya ivyo?kama anaweza,gud.2me cyo kabisa.ol n ol mi cyo jitu bali ni mtu.inawezekana nna matatizo ya kimtazamo.ktk ilo naweza ku ku jaji malezi hayakuiva sawa sawa.ni wale waleee...sor cjatukana mku

zamani mtu kama wewe ukiongea pumba kama hii tulikuwa tunasema elimu yako ndogo ila sasa hivi mtu ukiongea pumba kama hii tunasema huna exposure
hivi unaujua umri wa susan boyle?, unaujua umri wa abba singers?, whitney houston (r.i.p) unaujua umri wa mbilia beli? Wanaimba au hawaimbi jibu ni kuwa wanaimba wana watoto hawana? Jibu ni kuwa wanao tena wenye akili kuliko zako
 
HODI!
Yaani wewe ikitokea Bush kabaka Marekani, basi hata viongozi wetu wakibaka halali tu, et mbona nje inafanyika. Bibi hakuzuiwa kuimba, ila kwa umri wake sikutegemea kama angetoka nje ya mila na desturi zetu, yaani kujenga maadili kwanza. Tuambie,kipi kizuri ulichokiona mle.
 
Binafsi namshauli yule bibi akaimbe kwaya amuimbie muumba wake umri umekwenda ule ni wakati wa kumrudia mungu, ajue kua yuko kwenye finali saizi, Eti nasikia yuko kwenye kikundi cha wanaume ataweza mapanga ya wanaume???????

Nyie watu tatizo lenu nini hasa? Kwani imeandikwa wapi kuwa bongo fleva ni kwa vijana tuu? We unasema umri umeenda akamwimbie Mungu, aliyekuambia wanao takiwa kumbia Mungu ni wazee peke yao nani? Alosema wanaokufa ni wazee peke yao nani? Hebu mwacheni bibi wa watu afanye apendacho. Kama yeye anapenda kuimba na wajukuu zake mwacheni aimbe!
 
sioni tatizo la bibi cheka kufanya kitu anachopenda.Kwanza anaonekana mwenye furaha ktk kufanya hilo.
Kama anaweza na anapata fans why not?Sio kila mzee anataka kukaa tu kusuka ukili,kuna wazee wenye uwezo wa kufanya vitu vingi ambavyo hata kijana hawawezi kufanya.Kwenye program ya X-Factor kuna mshirika alikua ana miaka sitini akichuana na vijana wadogo na akafanya vizuri sana.Kwa wenzetu wa nchi zilizoendelea huyu bibi angesupotiwa sana na hata angetumika kuhamasisha binadamu wengine kutokata tamaa za kufanya mambo makubwa hata kama umri umekwenda.
Pia kumtaka akaimbe kwaya wakati moyo wake uko kwenye bongo flavour si sahihi.Kumuimbia Mungu yataka kufanya kwa moyo na kweli ,si kwa sababu umri umekwenda.
 
HODI!
Yaani wewe ikitokea Bush kabaka Marekani, basi hata viongozi wetu wakibaka halali tu, et mbona nje inafanyika. Bibi hakuzuiwa kuimba, ila kwa umri wake sikutegemea kama angetoka nje ya mila na desturi zetu, yaani kujenga maadili kwanza. Tuambie,kipi kizuri ulichokiona mle.
hapo ndio nilikuwa nasema exposure hamna eti maadili unajua maadili wewe ??
mimi naona sawa tu so long as katumia beat ya bongo flava pure
na video yake kaimbia katika mazingira ya mtanzania wa kawaida wewe ulitaka akaimbe ngoma??

au maadili unamaanisha nini nyimbo za mapenzi ??
umesikiliza nyimbo za chakachaka??
umesikiliza nyimbo za bolingo zina theme gani?
mmekalia maadili maadili watanzania bwana
 
Back
Top Bottom