We jamaa, nakupenda ujue

Nishafika mkuu, ngoja nipitie wasifu wake kwanza,

Si unajua huu msimu wa sikukuu una mengi??
daah asavali umekuja mkuu, moyo hauna macho na ndio hivyo umeshakudondokea. hebu mfikirie mwenzio na umpe japo nafasi katika huo mtima wako....
 
Naona hujui msisimuko anaoupata mtu anapoanzishiwa sridi kama hii....

Hahaha!!

Hebu tueleze mkuu, weye umesisimuka sehemu gani ya mwili baada ya kuanzishiwa sredi?
 
daah asavali umekuja mkuu, moyo hauna macho na ndio hivyo umeshakudondokea. hebu mfikirie mwenzio na umpe japo nafasi katika huo mtima wako....
Usihofu Demba , lazima nifanye mambo, yaonekana mtoto wa watu anakula mingo tangu 2012?? dah

Kumbe mpaka ukubwani kule napo ananifuatiliaga banaaa

Mwenzenu namaliza mwaka vizuri sana mie
 
Usihofu Demba , lazima nifanye mambo, yaonekana mtoto wa watu anakula mingo tangu 2012?? dah

Kumbe mpaka ukubwani kule napo ananifuatiliaga banaaa

Mwenzenu namaliza mwaka vizuri sana mie

mdada yeyote aliekuwa big fan wa Madenge utotoni
ataku notice tu kiaina...
Madenge those days alikuwa hot kuliko Denzel ....
warembo wa kumwaga wanamzikia hadi leo...
 
Miss niko kwa PM namalizia kazi aliyokwisha ianzisha kwenyewe..

Bahati iliyojeeeee

your very luck ma dear... tonge mdomoni ushindwe kutafuna loh!!!!!!!!!!! unamaliza mwaka vizuri
 
kuna watu wamebadili avator zao wameweka picha ya madenge.....kazi kwako kumjua origino ni yupi
 
Wewe ni dume au ni jike?
 
Jaman hata kuna wanaume wawili humu nawapenda kweli japo siwajui lakin napenda maneno yao mmoja ni..........nashindwa hata kumsema wawili siku nikiwabahatisha watanikomajeeeeee

kwikwikwikwi! acha kujivunga bhana. Waambie tu wanajamvi kuwa mmoja ni LILENDI na mwingine ni LILENDI. Haaaaaaa haaa haaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…