Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,105
- 34,926
We can't sign you in to windows live messenger (Signing in to Windows Live Messenger Failed because the service is temporarily Unvailabe. Please try again Get more information.......)
Haya wataalam kuna Rafiki yangu kila anapo Sign hii Windows Live Messenger huwa anapata hiyo apo juu Message na inakataa kufunguka nimejaribu kumuelekeza
namna ya Ku Repair lakini mpaka sasa imeshindikana kufunguka hiyo Windows Live messanger yaani hawezi Ku Sign in nilimwambia aende kwenye Start kisha Run kisha
kwenye Run aandike maandishi haya (regedit) ikifunguka hiyo Register Editor Kuna faili lipo hapa ( a. Follow steps based on your operating system version
+ HKEY_CLASSES_ROOT
+ AppID
c. Locate and right-click on the folder {380689D0-AFAA-47E6-B80E- A33436FE314B} and Click on Export
d. Give it a filename Backup and save it on the desktop
e. Once you save the file, right-click {380689D0-AFAA-47E6-B80E-A33436FE314B}and Delete
f. If you are asked if you want to delete the registry entry, click on Yes
g. Restart your computer try to Sign in again )
Lakini alivyo kwenda huko hilo faili hajalipata sasa nikamwambia ajaribu Ku Unistall hiyo Windows Live Messenger na ajaribu Ku install tena hiyo Windows Live Messenger) pia ikawa imeshindikana hawezi Ku
Sign kwenye hiyo Windows Live Messenger sasa nawaombeni ushauri wenu afanye nini ili aweze ku sign kwenye hiyo windows Live Messenger na anatumia Windows XP Pro asanteni wakuu wenzangu.

- In Windows XP, Click Start then click Run and type regedit and hit Enter
- In Windows Vista and Windows 7, Click Start , type regedit in the Start Search box and then press the Enter on your keyboard