We Africans, do we always have to learn it the hard way?

We Africans, do we always have to learn it the hard way?

Kuna argument huko mtandao mwingine mtu alisema the highest form of intelligence is emotional intelligence, bado natafakari.

🔥

Hawa wana falsafa wa mwanzo wangekuwepo sasa wangesema nini kuhusu capitalism?
Kuhusu capitalism nadhani walisema, unaweza kumrejea pia Karl Marx

Kuhusu tafakari yako juu ya emotional intelligence, naungana nao.
 
Attachments

  • IMG_20240505_103207.jpg
    IMG_20240505_103207.jpg
    86.5 KB · Views: 1
Sahihi sana, Huu uzi wa Bi mrembo Seran ni mzuri sana umenipa kutafakari na kuwakumbuka baadhi ya walimu wangu.
Ukweli ni kwamba jamii ili iende sawa inahitaji watu wanaofikiria kama hawa.

Sababu pekee tunakwama na tutaendelea kukwama ni kupuuza nguvu ya uhalisia. Naonaga watu wanasema eti ni masuala ya nyakati hayawezi huwezi kubadilisha.

We always have the choice, and every choice has the price to pay. The price of ignoring the reality, or the price of accepting the reality and living it.

Tunaweza kupuuza uhalisia ila hatuwezi kamwe kupuuza madhara ya kuupuuza uhalisia. The choice is ours.
 
Ukweli ni kwamba waafrika hata evolutionary bado kwenye DNA zetu kuna somesort of dumbness.

Why, kutokana na epigenetics emotional na hormonal information huwa zinakuwa passed down into generations..

Kuna waholanzi sijui! Mababu zao walikumbwa na hunger baada ya kutawaliwa na warusi, vizazi vi3 baada ya hapo walikuwa anazaliwa watoto malnutritioned. Na enzi hizo waholanzi walishakuwa huru..

We are still having, slavery mindset from our ancestors.. Maana angalia waafrika walivyo hopeless hata mazingira tu yanayo wazunguka yalivyo?

Na mazingira humdefine mtu..
Unajua kwamba trauma za mababu zinaweza kuathiri mpaka vitukuu?
 
Ndo hivyo, ila watu hawajui hilo
Mkwamo wa waafrika unaanzia hapa.

Fanya research leo tuseme watu 100 hata 200 waliosoma let's say mpaka degree. Wengi wao utakuta hawaelewi kuhusu namna ya kudhibiti na kutawala hisia zao. Hao ni wasomi vipi wasio???

Mzazi anapaswa kumuandaa mtoto wake katika namna bora ya kukabiliana na trauma, stress, kuwa empathetic etc... Lakini wazazi wengi hawayajui hayo. Utawalaumu wazazi au watoto wanaokuja mitaani/mitandaoni na pigo za ajabu, ukihoji wanasema maisha!

You can't pour water from an empty cup. Kuna kazi kubwa sana ya kufanya.
 
So on point.
Kuna watu wana I control hii dunia na wanajua kabisa kuwa kuna lots more information about human behavior wame I keep secrete na ndo inawaangamiza maskini.
 
Tunatengeneza mifumo bila kujua madhara yake huko mbeleni mfano mdogo ni kuanzishwa kwa shule salama ili kumlinda mtoto wa kike. Shule salama imekuja na mambo mengi ikiwemo kufutwa kwa adhabu ya viboko mashuleni
 
Back
Top Bottom