ngorokori
JF-Expert Member
- Sep 2, 2026
- 617
- 1,049
Kwamba mkuu na wewe unazijua hizo information about human behavior je wewe ni tajiri au na wewe ni maskini unaeangamia?So on point.
Kuna watu wana I control hii dunia na wanajua kabisa kuwa kuna lots more information about human behavior wame I keep secrete na ndo inawaangamiza maskini.