Wazurulaji wanaolengwa kukamatwa na RC Makonda ni akina nani?

hyu mheshimiwa ana mihemuko angejizuwia kuongea kipindi hiki cha gonjwa hili maana wananchi hatumuelewi kauli zake
 
Matamko kama haya yanabidi yatolewe pamoja na kanuni zenye kueleweka zikitoa pia ilani kwa watekelezaji vinginevyo watu wengi wasio na hatia wataumia..:confused:
 
Maana hata kazi za machinga kwa maana halisi ni uzululaji unao leta kipato kwa mzululaji!
Jifunze maneno yenye staha! ili upate kipato na maisha mazuri! wale ni watembezi watoa huduma! siyo kuzurula! unasikia? mzurulaji hana maelengo na safari zake! ukimuuliza ''unakwenda wapi ? ''hapo mbele kumuona Dura!''
 
Back
Top Bottom