Wazungu wengi hunukia harufu moja je hio harufu ni mafuta au perfume gani?

Wanashangaza wanapaka mafuta ya kujikinga na mionzi ya jua halafu ni hodari wa kukesha juani(unaweza mkuta mzungu anaota jua hadi la saa tano sita mchana)
sikirefu cha mzungu ni mzungukaji,sasa wataachaje kuzunguka
 
Nzi pia wanapenda harufu moja very amazing. Harufu hiyo inawavutia sana. Je mtu akitoa jibu hapa, unatalaumu kwamba watu wanachukia nzi kwa sababu wanapenda hiyo harufu?
Nzi wanapenda harufu mbaya.
 
Kweli huwa na harufu moja lakini hainuki vizuri ni mbaya kwakweli. Wahindi wasio oga ndiyo hatari zaidi
 
Mnaongozwa na mitazamo tu...nani kawaambia wao wanavutiwa na harufu zenu? ni rahisi ku notice kwa sababu ni harufu ngeni ila kila binaadamu ana harufu yake sema tu "lake mtu halimtapishi".

Nakumbuka nilipokuwa mdogo (miaka ya 1980 hivi) ilikuwa kama tunakataa kuoga basi Wazazi wanakuambia 'unataka kuwa kama mua....ha, wakimaanisha wenyeji wa pale/mkoa ule tulipohamia , ambapo walikuwa wanafika sana maeneo ya jirani na Nyumba tuliyokuwa tunaishi wakichunga Ng'ombe, Mbuzi na Kondoo zao...siku za mwanzo kuishi pale ile harufu mchanganyiko na mifugo ilikuwa inanifanya hata nashindwa kula chakula usiku.

Pia tukumbuke wengi wanatoka nchi zenye baridi hivyo hali ya joto lazima itasababisha miili yao ku react na ku produce aina fulani ya kemikali kama defence mechanisim.
Ni kweli kabisa hata mtanzania ukienda marekani au ulaya unakuw wa tofauti sana pia na wao wanashangaa harufu Zetu na si wazungu hata mchana mwarabu mhindi wote akiwa mgeni utasikia hatufu tofauti ila akishaa kaa sana na mwili wake ukazoea anakuwa wa kawaida ndio mana hatusikii sana warabu na wachina kwa sababu wengi tumeishi nao mda mrefu sana
 
Wanashangaza wanapaka mafuta ya kujikinga na mionzi ya jua halafu ni hodari wa kukesha juani(unaweza mkuta mzungu anaota jua hadi la saa tano sita mchana)
Wanajikinga na mienzi hatarishi (U. V rays) na siyo kwamba hawaliitaji jua kabisa
 
Kweli hata mi inaniudhi harufu ya Trump kwenye Runinga nikimuona
 
Watu wanachuki... Wazungu they smell nice. Inawezekana ikawa pia ni dawa ya kuoshea nywele. Na si kweli kuwa ni wachafu. Nmedate wazungu na nlienjoy sana mahusiano nao. Anytme ukigusa sehem yake ina harufu natural na si ya mikojo kama baadh ya waswahili.

Kuoga au kutokuoga ni tabia ya mtu. Mbona tunaambiwa waarabu na wahindi ni wachafu sana? Nenda maeneo ambayo wamekaa waarabu... But si wote pia.so ni tabia tu ya mtu. Ila kitu kimoja napenda.... They always smell nice na ni wasaf hasa maeneo yao ya kificho
 
Back
Top Bottom