JITU LA MIRABA MINNE
JF-Expert Member
- Mar 28, 2015
- 726
- 475
Kama ulishakutana na watasha somewhere wakikupitia utasikia harufu moja very amaizing je inaitwaje kama inauzwa madukani tuambiane .............
Kama sio perfume huwa inakuwa sabuni za kufulia nguo na softener wanazotumia ku-rinse kwenye washing machine.Kama ulishakutana na watasha somewhere wakikupitia utasikia harufu moja very amaizing je inaitwaje kama inauzwa madukani tuambiane .............
Kama ulishakutana na watasha somewhere wakikupitia utasikia harufu moja very amaizing je inaitwaje kama inauzwa madukani tuambiane .............
No kweli hua na harufu moja wakiwa Africa ni sawa ya kukinga ngozi yao na mionzi yajua germs
Amen RA. ..ina harufu kama chuma ..hawa watu hawa ogi hata mpaka waende swimming. .totally disgusting. .eeuuwWazungu nawasikiaga wote wana harufu fulani hivi mbayaaaa
Ama kweli. .picha ya harufu plz
mbona kama vile uko nje ya mada mkuu.unatulisha tango poriNgozi zao ni tofauti nasisi anaweza kuwa mwekundu kama damu kwakukasirika tu bila hats kupigwa