Wazungu wengi hunukia harufu moja je hio harufu ni mafuta au perfume gani?

nasikia mzungu hata akijamba harufu yake sio kali sijui nikweli ila aachie black sasa lazima ushike tumbo
ushuz wa mzungu auna tofaut na mwafrika...harufu inategemea umekula nini tofaut katI yetu na wao sisi hatujiachii mzungu ushuz ukija anaachia tu popote bila aibu
 
Tofauti ni kuwa albinism ni majaala ya mwenyezi mungu wakati wa mkorogo ni yakujitakia. Lakini concept ni ile ile ya kucheza na hiyo pigment ya melanin ambayo wanaichuna kwa madawa.
 
Kama ulishakutana na watasha somewhere wakikupitia utasikia harufu moja very amaizing je inaitwaje kama inauzwa madukani tuambiane .............

harufu ya kijasho hicho we unaitaamaizing , kweli waafrica aliyetuloga kafa, maana hata mzungu aki pumua tutasema ni harufu ya keki/nyama choma
 
Ngoja nitaanza kuwanusa tangu sasa....nitajipitisha pitisha kama dog nitaleta mrejesho....mkiona kimya mjue nishaitwa gaidi
 
Kama sio perfume huwa inakuwa sabuni za kufulia nguo na softener wanazotumia ku-rinse kwenye washing machine.
Ama mafuta ambayo ni sunrays protector.

Wakijaga tu kusini mwa jangwa la sahara na sehemu zingine za joto wanajipaka

Dizain za Nivea aftersun etc.
 
Wanashangaza wanapaka mafuta ya kujikinga na mionzi ya jua halafu ni hodari wa kukesha juani(unaweza mkuta mzungu anaota jua hadi la saa tano sita mchana)
Na ndio maana wanakujaga wakati wa summer

Wengi wanaenjoy kuota jua kwani kwao unakuta wametoka maeneo ya baridi kali ama barafu kabisa.
 
nikweli wana harufu inayofanana niliwahi kuwauliza wakaniambia inaitwa harufu ya dhahabu. wakioga inaondoka ,wakitoa jacho lazima utaisikia .
 
Back
Top Bottom