Wazungu wanatuharibia maana ya rangi zetu (Rainbow)

Wazungu wanatuharibia maana ya rangi zetu (Rainbow)

Hii ishu iko deep sana lakini kwa kifupi LGBT ni mpango wa kupunguza nguvu ya mwanaume duniani ikiwa na maana new world order itakapoanza kama 80% ya wanaume wanashiriki mapenzi ya jinsia moja then hakutakuwa na nguvu ya kupinga sababu ule uanaume ile nguvu na pride ya kuwa wa kiume haimo tena.

Ndio maana dildos na sexual dolls zinatengenezwa sana ili kuhakikisha yule mwanaume halisi anapotea na nguvu ya kupambana pia inapungua,hata kivita wanapunguza matumizi ya human power zaidi iende kwenye machine power sababu in near future mwanaume rijali atapotea na ndio maana sasa hivi mashoga wengi ni vijana wadogo wadogo na wakijiunga tu wanakuwa na pesa za kujikimu na kuendesha magari mjini inawafanya wengi wanakimbilia ila wengi wanapotea wapo waliopenda na wapo waliolazimishwa.

Hili suala limepewa nguvu kubwa mno,rainbow imetumika zama kwa zama lakini ukitaka kufahamika fanya tukio sasa hivi wanatumia straights kuitangaza kama ni bendera yao na sisi straight wenyewe bika kujua kama ni trap ndio tuko bize kushtuana usiitumie ile ni ya "gays" wao wamekaa pembeni.


Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umeona mbali sana na ulichoandika ni kweli kabisa kama sensa inadai kuwa jinsia ke ni wengi kuliko me jumlisha aya majanga so ni rahisi kupredict kuwa zama zijazo wanaume watakuwa ni viumbe adimu.
 
Kwani nani mmiliki wa hiyo rainbow? Mimi sina shida hata wangetumia nyota au mwezi au jua.kama unaipenda rainbow kwa shughuli zako itumie tuu madhali wewe hausapoti vitendo vya mapenzi ya jinsi moja
 
Kuna conspiracy theories nyingi sana ukanda huu wa comments!

Mara sijui wazungu wanataka kuwauwa wanaume, sijui freemason... mara ibilisi sijui kafanyaje?

Mbona huwa mnafurahia sana kula tigo za wanawake mpaka mnajisifu hadharani kwamba eti nyie ni "wafiraji hodari".

Lakini mashoga wakifanya ni laana na wametumwa na ibilisi!

Unafiki uko juu sana kuliko viwango vya kawaida!

Huko kwenye mavi ya wanawake huwa mnatafuta nini? ibilisi aliwatuma mkachokonoe mavi huko?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilikuwa ughaibuni hivi karibuni, kwenye chuo kimoja, vijana "wa timu pinzani" LGBT, walikuwa wamening'iniza bendera ndeeefu za rainbow kwenye madirisha ya hostel zao kama recognition na vile wapo proud of. Mungu atusaidie.
 
BabaMorgan, Hahahaa.

Umenikumbusha mama mmoja Mmarekani.

Alikuwa analalamika.

Anasema yeye hapingi hao LGBT kufanya wanavyotaka, yuko radhi wafanye wanavyotaka kivyaovyao kwa uhuru wao.

Tatizo lake, wamelichukua neno "gay" na kulipa maana fulani tofauti.

Neno "gay" kiingereza maana yake halisi ni kuwa na furaha.

Siku hizi mtu akikuuliza "are you gay?" maana yake imekuwa tofauti.

Sent using Jamii Forums mobile app
Uko sawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
BabaMorgan, Hahahaa.

Umenikumbusha mama mmoja Mmarekani.

Alikuwa analalamika.

Anasema yeye hapingi hao LGBT kufanya wanavyotaka, yuko radhi wafanye wanavyotaka kivyaovyao kwa uhuru wao.

Tatizo lake, wamelichukua neno "gay" na kulipa maana fulani tofauti.

Neno "gay" kiingereza maana yake halisi ni kuwa na furaha.

Siku hizi mtu akikuuliza "are you gay?" maana yake imekuwa tofauti.

Sent using Jamii Forums mobile app

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ngoja nikagoogle
 
Back
Top Bottom