BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 5,188
- 14,346
- Thread starter
- #41
Mchango wako umepokelewa.Mwanangu wewe dish limeyumba
Mchango wako umepokelewa.Mwanangu wewe dish limeyumba
Ni kuiangamiza dunia kwa kigezo kuwa kila mwanadamu ana Uhuru wa kuchagua maisha gani aishi.Lengo la hawa wanaopromote ushoga dunia nzima ni nini hasa? wao watanufaika vipi?
Utofauti upo sana mwanaume kuingiliwa kinyume na maumbile ni kitu kikubwa na cha kupingwa vikali.Ni kweli. Sioni tofauti kati ya kumuingilia mwanamke kinyume na maumbile na ushoga!
Ni kweli Hakuna jipya chini ya jua.huwa napinga maandiko ya vitabu vya dini ila hapa nanyanyua mikono juu ,unabii unatimia ndugu zangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Inasemekana wengi wanaoingilia wanawake kinamaumbile wana uwezekano mkubwa kuwa na traces za ushoga siku akikosa mwanamke ata tafuta mwanaume mwenzake so ni wote ni wale wale tu wafiraji hata kwenye vitabu vya dini imewapinga si wafiraji wa wanawake au wanaumeUtofauti upo sana mwanaume kuingiliwa kinyume na maumbile ni kitu kikubwa na cha kupingwa vikali.
Mkuu nimekuelewa ni kweli Rainbow ya LGBT imekuwa maarufu kiasi kwamba popote ninapoiona au napoana hata upinde wa mvua mawazo yangu moja kwa moja yanaenda kwenye LGBT na kwa hiyo power inayotumika imetufanya tuamini kuwa hiyo community Ina hatimiliki ya hiyo rangi na pengine hicho kinawapelekea wasiounga mkono hivyo vitendo kutokuwa comfortable kujihusisha na hizo rangi ndo maana nikawa nashauri kama kuna uwezekano wa kupata alama mbadala ingekuwa vizuri kuliko kutumia RainbowMkuu hakuna mwenye patent right na rangi za Rainbow so haijaibwa ila ungesema. Rainbow ya LGBT au Pride Flag imekuwa maarufu kuliko Rainbow flags zingine.
South Africa walitumia rangi hizo pia kipindi wanafuta mambo ya apartheid lakini wao ilimaanisha together in diversity.
Kwahiyo hyo rangi maana yake licha ya utofauti wao ''kijinsia'' ila ni binadamu hivyo wote waheshimiwe.
NB: Sipo hapa kutetea ndoa za jinsia moja ila maana ya hyo bendera ndio hiyo na imetumika kwingi tu kumaanisha Unity in diversity yaani ushirikiano/Umoja licha ya tofauti zetu za rangi/Jinsia/Uchumi
Mkuu umeongea point sana. Hao wote mashoga tuuWakuu mtaniradhi ila naona kama Tanzania tumejaa unafiki hivi. Ukiingia mitandaoni hata humu JF issue ya ushoga ikitajwa watu wanakuwa wakali sana same as wanawake wakiingiliwa kinyume na maumbile.
Sasa nachoshangaa Utafiti wa mewata ilikuwa 2013 ulionyesha kila wanawake 3 basi mmoja ameingiliwa kinyume maumbile. Na hiyo ni miaka 6 ilopita. Sasa nachojiuliza hao wanaowaingilia ndio hawa wanaotoka mapovu mitandaoni au wale huwa hawaingii online??
Kuhusu unafiki ni kweli lakini kuhusu Rainbow sio sawa ingetosha tu kupata alama tofauti.Wakuu mtaniradhi ila naona kama Tanzania tumejaa unafiki hivi. Ukiingia mitandaoni hata humu JF issue ya ushoga ikitajwa watu wanakuwa wakali sana same as wanawake wakiingiliwa kinyume na maumbile.
Sasa nachoshangaa Utafiti wa mewata ilikuwa 2013 ulionyesha kila wanawake 3 basi mmoja ameingiliwa kinyume maumbile. Na hiyo ni miaka 6 ilopita. Sasa nachojiuliza hao wanaowaingilia ndio hawa wanaotoka mapovu mitandaoni au wale huwa hawaingii online??
Kumuita mtu shoga bila ushaidi ni kumkosea heshima.
Mkuu acha kujishuku. Nimechangia mada ya mdau hapo kwamba anaemuingilia mwanamke kinyume na maumbile nae ni shoga tuu. Nahisi na wewe ni walewale tu.Kumuita mtu shoga bila ushaidi ni kumkosea heshima.
Mkuu acha kujishuku. Nimechangia mada ya mdau hapo kwamba anaemuingilia mwanamke kinyume na maumbile nae ni shoga tuu. Nahisi na wewe ni walewale tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa ila nachokuomba mkuu tuheshimiane mi nimeleta Uzi kwa ajiri ya kuhoji matumizi ya Rainbow.Mkuu acha kujishuku. Nimechangia mada ya mdau hapo kwamba anaemuingilia mwanamke kinyume na maumbile nae ni shoga tuu. Nahisi na wewe ni walewale tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
kabisa mkuu mimi hamu ya mpira imekata kabisa ani kisa uo upuuzi
Hiyo ni ibada kwa mungu wao ibilisi, ambaye anawapa hayo mafanikio fekiLengo la hawa wanaopromote ushoga dunia nzima ni nini hasa? wao watanufaika vipi?
Wakuu mtaniradhi ila naona kama Tanzania tumejaa unafiki hivi. Ukiingia mitandaoni hata humu JF issue ya ushoga ikitajwa watu wanakuwa wakali sana same as wanawake wakiingiliwa kinyume na maumbile.
Sasa nachoshangaa Utafiti wa mewata ilikuwa 2013 ulionyesha kila wanawake 3 basi mmoja ameingiliwa kinyume maumbile. Na hiyo ni miaka 6 ilopita. Sasa nachojiuliza hao wanaowaingilia ndio hawa wanaotoka mapovu mitandaoni au wale huwa hawaingii online??