Wazungu wanatuharibia maana ya rangi zetu (Rainbow)

Hiyo kampeni ya mashoga ni ibada kwa ibilisi, ni uasi wa waziwazi kwa Mungu Mwenyezi huku ukivikwa joho la ustaarabu wa kileo
 
LGBT (LESBISIAN, GAY, BISEXUAL AND TRANSGENDER). Uamuzi wa kutumia Rainbow kama alama (symbol) ya kusupport LGBT society ni wa kupingwa vikali na wapenda nature wote. Kwa nini Rainbow na sio alama nyingine yoyote? Na je, Rainbow ilitokea kwa sababu ya mashoga tu na sio binadamu wote wa ulimwengu?

Mimi kijana wa Kitanzania nakiri wazi kutokubaliana na uamuzi wa kutumia rangi za Rainbow kama mojawapo ya alama ya kutambulisha na ku-support LGBT society kwa sababu zifuatazo:

1. Rainbow ni rangi sio vitendo

2. Rainbow ni kwa ajili ya wote, siYo kikundi fulani

3. Rainbow ni nature

Ukweli utabakia kuwa ukweli milele.
Mkuu hakuna mwenye patent right na rangi za Rainbow so haijaibwa ila ungesema. Rainbow ya LGBT au Pride Flag imekuwa maarufu kuliko Rainbow flags zingine.

South Africa walitumia rangi hizo pia kipindi wanafuta mambo ya apartheid lakini wao ilimaanisha together in diversity.

Kwahiyo hyo rangi maana yake licha ya utofauti wao ''kijinsia'' ila ni binadamu hivyo wote waheshimiwe.

NB: Sipo hapa kutetea ndoa za jinsia moja ila maana ya hyo bendera ndio hiyo na imetumika kwingi tu kumaanisha Unity in diversity yaani ushirikiano/Umoja licha ya tofauti zetu za rangi/Jinsia/Uchumi
 
Hiyo kampeni ya mashoga ni ibada kwa ibilisi, ni uasi wa waziwazi kwa Mungu Mwenyezi huku ukivikwa joho la ustaarabu wa kileo
Dunia inaenda kasi sana nguvu inayotumika ni kubwa kutuaminisha uovu ni usahihi.
TFF iboreshe ligi yetu maana kila nikiangalia mechi za epl nahisi Kama na mimi nasuport ushoga

Sent using Jamii Forums mobile app
Ligi yetu pendwa imeniangusha.
Kila nikiwasha TV niangalie mpira nikiona yale marangi rangi . hata hamu ya kuangalia inakata.
Nahisi niko ndotoni vile.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu mtaniradhi ila naona kama Tanzania tumejaa unafiki hivi. Ukiingia mitandaoni hata humu JF issue ya ushoga ikitajwa watu wanakuwa wakali sana same as wanawake wakiingiliwa kinyume na maumbile.

Sasa nachoshangaa Utafiti wa mewata ilikuwa 2013 ulionyesha kila wanawake 3 basi mmoja ameingiliwa kinyume maumbile. Na hiyo ni miaka 6 ilopita. Sasa nachojiuliza hao wanaowaingilia ndio hawa wanaotoka mapovu mitandaoni au wale huwa hawaingii online??
 
Wala tigo za wanawake na mashoga ndo walewale, wanafanya ubatili kwa kuendekeza tamaa za mwili. Kushinda vishawishi vya shetani siyo jambo rahisi, tumia utashi wako vyema....
 
Wakuu mtaniradhi ila naona kama Tanzania tumejaa unafiki hivi. Ukiingia mitandaoni hata humu JF issue ya ushoga ikitajwa watu wanakuwa wakali sana same as wanawake wakiingiliwa kinyume na maumbile.

Sasa nachoshangaa Utafiti wa mewata ilikuwa 2013 ulionyesha kila wanawake 3 basi mmoja ameingiliwa kinyume maumbile. Na hiyo ni miaka 6 ilopita. Sasa nachojiuliza hao wanaowaingilia ndio hawa wanaotoka mapovu mitandaoni au wale huwa hawaingii online??
Wanafiki ni wengi. Jinsia inayowaingilia mashoga na wanawake ndio hiyo hiyo ipo busy kupinga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo lako UNAJUMLISHA.
Wakuu mtaniradhi ila naona kama Tanzania tumejaa unafiki hivi. Ukiingia mitandaoni hata humu JF issue ya ushoga ikitajwa watu wanakuwa wakali sana same as wanawake wakiingiliwa kinyume na maumbile.

Sasa nachoshangaa Utafiti wa mewata ilikuwa 2013 ulionyesha kila wanawake 3 basi mmoja ameingiliwa kinyume maumbile. Na hiyo ni miaka 6 ilopita. Sasa nachojiuliza hao wanaowaingilia ndio hawa wanaotoka mapovu mitandaoni au wale huwa hawaingii online??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata kipindi cha kuangamizwa watu wa sodoma na Gomorrah wapo Walionusurika.
Na ikitokea maangamizi hivi sasa naamini na mimi nitanusurika.
Wakuu mtaniradhi ila naona kama Tanzania tumejaa unafiki hivi. Ukiingia mitandaoni hata humu JF issue ya ushoga ikitajwa watu wanakuwa wakali sana same as wanawake wakiingiliwa kinyume na maumbile.

Sasa nachoshangaa Utafiti wa mewata ilikuwa 2013 ulionyesha kila wanawake 3 basi mmoja ameingiliwa kinyume maumbile. Na hiyo ni miaka 6 ilopita. Sasa nachojiuliza hao wanaowaingilia ndio hawa wanaotoka mapovu mitandaoni au wale huwa hawaingii online??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
LGBT (LESBISIAN, GAY, BISEXUAL AND TRANSGENDER). Uamuzi wa kutumia Rainbow kama alama (symbol) ya kusupport LGBT society ni wa kupingwa vikali na wapenda nature wote. Kwa nini Rainbow na sio alama nyingine yoyote? Na je, Rainbow ilitokea kwa sababu ya mashoga tu na sio binadamu wote wa ulimwengu?

Mimi kijana wa Kitanzania nakiri wazi kutokubaliana na uamuzi wa kutumia rangi za Rainbow kama mojawapo ya alama ya kutambulisha na ku-support LGBT society kwa sababu zifuatazo:

1. Rainbow ni rangi sio vitendo

2. Rainbow ni kwa ajili ya wote, siYo kikundi fulani

3. Rainbow ni nature

Ukweli utabakia kuwa ukweli milele.

Vita dhidi ya LGBT, kwa ujumla wake, ni vita ambavyo hatutavishinda kwa silaha za kibinadamu. Nguvu ya ziada inahitajika.

Hapo zamani kulikuwa na Sodoma na Gomorrah. Who wiped them out? Yule yule aliyefanya yake kipindi kile atafanya yake kipindi hiki, ikimpendeza. Yeye ni jeshi la mtu mmoja, lisiloshindwa vita!
 
Premier League announces partnership with Stonewall
10 Nov 2017

A rainbow captain's armband in support of Stonewall's Rainbow Laces campaign

Organisations join forces to promote LGBT equality in football
Related Articles
Premier League clubs support Rainbow Laces
United partner with LGBT inclusion charity External Link
Leicester City Supporting Stonewall External Link

The Premier League and Stonewall have today announced a three-year partnership to help further promote LGBT equality in football.
The League and its clubs will work with Stonewall to encourage LGBT people to get involved in the sport – whether playing, supporting a club, or working in an off-pitch role – and to improve the experience of the LGBT community when they do so.
Through the partnership, the Premier League will join Stonewall’s Global Diversity Champions programme, becoming one of 750 organisations that work to improve the lives of the LGBT community in the UK and internationally. This will include the League taking steps to ensure it provides an inclusive environment for LGBT people it employs and engages with.
A significant part of the partnership will include work to address unacceptable language and homophobic abuse, whether in stadiums or on social media. This will focus on improved reporting measures, staff training and other programmes where the League will use the power of football, and its significant reach, to promote LGBT fan groups.
In an effort to ensure LGBT people feel welcome and included across all aspects of the sport, Stonewall and the Premier League will work closely with clubs to ensure that equality and diversity are key parts of the many programmes they run in communities across the country.
Last year, the Premier League took part in the biggest show of support for LGBT equality in sport to date. Premier League clubs, along with the EFL and The FA, turned sport rainbow for a weekend in a mass show of support for LGBT people.
The League and Stonewall have a range of exciting plans to again show support for the LGBT community across a round of matches in November – more details on this will be published next week.
"Premier League football is for everyone, everywhere and our clubs are committed to equality and diversity at all levels of the sport," Premier League Executive Chairman Richard Scudamore said.
"We view the LGBT community as an integral part of our community and, working with Stonewall, we want this partnership to improve the experience of LGBT people already playing football, and supporting clubs, and to signal to others who might be interested in getting involved, that they are welcome to do so."
Stonewall chief executive Ruth Hunt said: "This is an important milestone for football, and for sport. When we started this campaign we asked people to lace up. We knew this simple act wasn’t going to solve the problem, our aim was to raise awareness of the issue. We also knew we can’t tackle this on our own, we need allies.
"The Premier League have stepped up and demonstrated how committed they are to helping make football inclusive and welcoming of LGBT people.
"The reasons for the lack of LGBT inclusion in sport are complex.
"There’s no 10-point charter, or pledge that will prevent someone for shouting homophobic abuse. It needs concentrated work, careful attention and a thought-through strategy to ensure no one is left behind.
“We look forward to working together with the Premier League to create a game where everyone is able to be themselves."
See: How the Premier League supported Stonewall last season

Aisee Sikijua kama hii kitu iko serious namna hii.

download.jpeg

download (3).jpeg
 
LGBT (LESBISIAN, GAY, BISEXUAL AND TRANSGENDER). Uamuzi wa kutumia Rainbow kama alama (symbol) ya kusupport LGBT society ni wa kupingwa vikali na wapenda nature wote. Kwa nini Rainbow na sio alama nyingine yoyote? Na je, Rainbow ilitokea kwa sababu ya mashoga tu na sio binadamu wote wa ulimwengu?

Mimi kijana wa Kitanzania nakiri wazi kutokubaliana na uamuzi wa kutumia rangi za Rainbow kama mojawapo ya alama ya kutambulisha na ku-support LGBT society kwa sababu zifuatazo:

1. Rainbow ni rangi sio vitendo

2. Rainbow ni kwa ajili ya wote, siYo kikundi fulani

3. Rainbow ni nature

Ukweli utabakia kuwa ukweli milele.
Mwanangu wewe dish limeyumba
 
Back
Top Bottom