Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,054
- 6,281
Kwa huyu mwanamke tutabishana,hajachoka bana ila kutakuwa na mtu amempenda na kaamua kuishi maisha ya mpenzi wake..
Hahaha dada anakomaa huyoooo! hata hivyo Tz yetu ni dumping place a.k.a Dustbin ya wazungu wachovu na fake products/ mchina!