wazungu wanaokuja africa wamechoka mbayaaaa,ebu angalia

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,054
6,281
899225_00000000000000-11_jpg94f93a2eeba5d9899912fc483d96d429.jpeg 394609_gongo_so_ewoyinbo_nilu_osogbo_jpg0088f7bda6f3d4b1f4d7d11275caaad2.jpeg

vigezo na masharti kuzingatiwa,picha hisani ya money stunna
 
Kwa huyu mwanamke tutabishana,hajachoka bana ila kutakuwa na mtu amempenda na kaamua kuishi maisha ya mpenzi wake..
 
Hahaha dada anakomaa huyoooo! hata hivyo Tz yetu ni dumping place a.k.a Dustbin ya wazungu wachovu na fake products/ mchina!
 
Hawa sio wakuja hawa, ni zao la miradi kwa hisani ya watu wa marekani
 
Hahaha kwa mwanamke hapana aisee...nadhani kapenda bana, mbona mzuri...inamaaana hakupata wakumridhisha majuu...haha huyo kajiamulia
 
Hawa wazungu wamekuja matembezi ivyo wanaiga namna wanavyoishi wa TZ
 
Back
Top Bottom