Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,320
- 33,125
Last edited by a moderator:
Kama hivyo ndivyo, kwa nini viongozi wetu Afrika wanashindwa kutoa matamko ya kulaani waziwazi ushenzi huu!!
Viongozi wetu wanaogopa kusema ukweli pili wanaogopa kuondolewa Madarakani, na misaada yenye Masharti magumu watanyimwa wakimuunga mkono kanali muammar Qadafi.Mimi ninamsifu Mzee Robert Mugabe wa Zimbambwe ni kiongozi mwenye msimamo dhidi ya Wazungu wenye tamaa ya kuimeza Bara la Afrika. Kanali Gadaffi alikuwa anaitakia Bara la Afrika liwe na maendeleo lakini Wazungu wa Ulaya ya Magharibi na Amerika hawaitakii Afrika iwe na Maendeleo tutamkumbuka huyu king of Afrika Kanali muammar Qadaffi kwa Msaada wake na mawazo yake.Kama hivyo ndivyo, kwa nini viongozi wetu Afrika wanashindwa kutoa matamko ya kulaani waziwazi ushenzi huu!!
Mkuu nakubaliana na wewe kwa 100%.Viongozi wetu wanaogopa kusema ukweli pili wanaogopa kuondolewa Madarakani, na misaada yenye Masharti magumu watanyimwa wakimuunga mkono kanali muammar Qadafi.Mimi ninamsifu Mzee Robert Mugabe wa Zimbambwe ni kiongozi mwenye msimamo dhidi ya Wazungu wenye tamaa ya kuimeza Bara la Afrika. Kanali Gadaffi alikuwa anaitakia Bara la Afrika liwe na maendeleo lakini Wazungu wa Ulaya ya Magharibi na Amerika hawaitakii Afrika iwe na Maendeleo tutamkumbuka huyu king of Afrika Kanali muammar Qadaffi kwa Msaada wake na mawazo yake.
Viongozi wetu wanaogopa kusema ukweli pili wanaogopa kuondolewa Madarakani, na misaada yenye Masharti magumu watanyimwa wakimuunga mkono kanali muammar Qadafi.Mimi ninamsifu Mzee Robert Mugabe wa Zimbambwe ni kiongozi mwenye msimamo dhidi ya Wazungu wenye tamaa ya kuimeza Bara la Afrika. Kanali Gadaffi alikuwa anaitakia Bara la Afrika liwe na maendeleo lakini Wazungu wa Ulaya ya Magharibi na Amerika hawaitakii Afrika iwe na Maendeleo tutamkumbuka huyu king of Afrika Kanali muammar Qadaffi kwa Msaada wake na mawazo yake.
Umezungumza point mimi pia nakuunga mkono sina cha kuongeza Sisi waafrika tutakuwa kila siku washingiliaji wa upande mmoja hatuangalii ukweli ni upi na nani ametendewa pasipo haki? kazi yetu ni ushangiliaji tu kama tuko kwenye mechi ya mpira simba na yanga.Huitaji kuwa Genius kuelewa jamaa anaongea nini.. Labda tu tungeweza kutafsiri kwa kiswahili ili kuondoa kisingizio cha lugha...
Propaganda za ulaya na Marekani zime-tawala vichwa vyetu..ni ukoloni mamboleo. Tunashabikia upande moja mmoja kutokana na ukosefu wa changamoto ya upande wa pili...na ujinga wetu..
Wengi wanashabikia yanayotokea huko Mashariki ..huku nyuma yake kukiwa na mkono wa Ulaya na Marekani, wengi wanasahau hao hao ulaya na Marekani wanaweza kesho kumbadili kiongozi wako na mawazo yako kwa kiongozi huyo kwa jina la demokrasia.. Wengi wana-sahau Ulaya na Marekani wanaweza kesho kuzuka Dar, Iringa, Mwanza, Songea na Bukoba na kuua raia zetu na UN wakashangilia! Hata wenye mawazo finyu wa nyumbani wanaweza shangilia mauaji hayo....
Kwa sababu wa-tanzania tumeshakuwa waafu.. Tusubiri kuona mengi wakati Uchumi wa Ulaya na Marekani unaporomoka.. na baadhi ya nchi ya Ulaya zinakuwa masikini..huku mchina akitabasamu.. lazima watu watolewe Sacrifice ili wazungu waishi..sijui atakuwa nani?
Viongozi wetu wanaogopa kusema ukweli pili wanaogopa kuondolewa Madarakani, na misaada yenye Masharti magumu watanyimwa wakimuunga mkono kanali muammar Qadafi.Mimi ninamsifu Mzee Robert Mugabe wa Zimbambwe ni kiongozi mwenye msimamo dhidi ya Wazungu wenye tamaa ya kuimeza Bara la Afrika. Kanali Gadaffi alikuwa anaitakia Bara la Afrika liwe na maendeleo lakini Wazungu wa Ulaya ya Magharibi na Amerika hawaitakii Afrika iwe na Maendeleo tutamkumbuka huyu king of Afrika Kanali muammar Qadaffi kwa Msaada wake na mawazo yake.