Wazungu jaamani sio watu wazuri hebu angalieni hii video

Chief mbona hilo linajulikana toka zamani, hawa jamaa wakishaona maslahi yao yanaingiliwa basi ni lazima watengeneze sababu za ajabu ajabu,
 
Halafu hawana hata aibu wanadai wanaopigana kule ni rebels kumbe kuna wanajeshi mbali mbali wa nchi za magharibi ikiwemo Marekani. Wamekusanya mabilioni ya pesa zilizokuwa katika mabenki ya nje na kudai watapewa rebels nina hakika pesa hizi nyingi zitaibiwa kama zilivyoibiwa pesa nyingi za Iraq zilizokuwa katika mabenk ya nje.
 
Kama hivyo ndivyo, kwa nini viongozi wetu Afrika wanashindwa kutoa matamko ya kulaani waziwazi ushenzi huu!!

Wataongea nini wakati waliwekwa, The whitee know them from A - Z strengths and weaknesses, hawawezi fanya kitu zaidi ya kujiweka kando. Hapa ni kuomba mungu siku moja viongozi wa africa waamke na wazo moja, otherwise we have to share what we have with the whites.
 
Kama hivyo ndivyo, kwa nini viongozi wetu Afrika wanashindwa kutoa matamko ya kulaani waziwazi ushenzi huu!!
Viongozi wetu wanaogopa kusema ukweli pili wanaogopa kuondolewa Madarakani, na misaada yenye Masharti magumu watanyimwa wakimuunga mkono kanali muammar Qadafi.Mimi ninamsifu Mzee Robert Mugabe wa Zimbambwe ni kiongozi mwenye msimamo dhidi ya Wazungu wenye tamaa ya kuimeza Bara la Afrika. Kanali Gadaffi alikuwa anaitakia Bara la Afrika liwe na maendeleo lakini Wazungu wa Ulaya ya Magharibi na Amerika hawaitakii Afrika iwe na Maendeleo tutamkumbuka huyu king of Afrika Kanali muammar Qadaffi kwa Msaada wake na mawazo yake.
 
Mkuu nakubaliana na wewe kwa 100%.
 
mambo ya wikileaks yalishatufunua mengi juu ya hawa watu! so tunayoyaona au kuyasikia ni muendelezo tu wa ukweli tulioujua tangu zamani
 
Viongozi wetu wanaogopa kusema ukweli pili wanaogopa kuondolewa Madarakani, na misaada yenye Masharti magumu watanyimwa wakimuunga mkono kanali muammar Qadafi.Mimi ninamsifu Mzee Robert Mugabe wa Zimbambwe ni kiongozi mwenye msimamo dhidi ya Wazungu wenye tamaa ya kuimeza Bara la Afrika. Kanali Gadaffi alikuwa anaitakia Bara la Afrika liwe na maendeleo lakini Wazungu wa Ulaya ya Magharibi na Amerika hawaitakii Afrika iwe na Maendeleo tutamkumbuka huyu king of Afrika Kanali muammar Qadaffi kwa Msaada wake na mawazo yake.

Nchi zetu nyingi hazina msimamo kwenye kupinga maamuzi mbali mbali ambayo hayana manufaa kwa bara letu. South Africa walijitahidi sana kupinga uvamizi huu wa Libya lakini hawakupata ushirikiano wowote kutoka katika nchi zetu nyingi za Kiafrika. Kule Syria na Yemen watu wanaua kwa wingi tu lakini sijasikia kama kuna mashambulizi yaliyopangwa kuelekezwa katika nchi zile. Ni uonevu tu na uroho wa kupora rasilimali za Afrika.
 
Huitaji kuwa Genius kuelewa jamaa anaongea nini.. Labda tu tungeweza kutafsiri kwa kiswahili ili kuondoa kisingizio cha lugha...

Propaganda za ulaya na Marekani zime-tawala vichwa vyetu..ni ukoloni mamboleo. Tunashabikia upande moja mmoja kutokana na ukosefu wa changamoto ya upande wa pili...na ujinga wetu..

Wengi wanashabikia yanayotokea huko Mashariki ..huku nyuma yake kukiwa na mkono wa Ulaya na Marekani, wengi wanasahau hao hao ulaya na Marekani wanaweza kesho kumbadili kiongozi wako na mawazo yako kwa kiongozi huyo kwa jina la demokrasia.. Wengi wana-sahau Ulaya na Marekani wanaweza kesho kuzuka Dar, Iringa, Mwanza, Songea na Bukoba na kuua raia zetu na UN wakashangilia! Hata wenye mawazo finyu wa nyumbani wanaweza shangilia mauaji hayo....

Kwa sababu wa-tanzania tumeshakuwa waafu.. Tusubiri kuona mengi wakati Uchumi wa Ulaya na Marekani unaporomoka.. na baadhi ya nchi ya Ulaya zinakuwa masikini..huku mchina akitabasamu.. lazima watu watolewe Sacrifice ili wazungu waishi..sijui atakuwa nani?
 
Umezungumza point mimi pia nakuunga mkono sina cha kuongeza Sisi waafrika tutakuwa kila siku washingiliaji wa upande mmoja hatuangalii ukweli ni upi na nani ametendewa pasipo haki? kazi yetu ni ushangiliaji tu kama tuko kwenye mechi ya mpira simba na yanga.
 
Viongozi wetu wanaogopa kusema ukweli pili wanaogopa kuondolewa Madarakani, na misaada yenye Masharti magumu watanyimwa wakimuunga mkono kanali muammar Qadafi.Mimi ninamsifu Mzee Robert Mugabe wa Zimbambwe ni kiongozi mwenye msimamo dhidi ya Wazungu wenye tamaa ya kuimeza Bara la Afrika. Kanali Gadaffi alikuwa anaitakia Bara la Afrika liwe na maendeleo lakini Wazungu wa Ulaya ya Magharibi na Amerika hawaitakii Afrika iwe na Maendeleo tutamkumbuka huyu king of Afrika Kanali muammar Qadaffi kwa Msaada wake na mawazo yake.

Naomba ifahamike kwenu nyote mnaotaka kumkumbuka m2 kwa msaada wake na kusahau ubinadam wake kwa wa2, hii misaada yake au yao ndio hiyo hiyo inayowafanya viongoz wenu wa kiafrika kukosa power ya kulaani all evils made by whites dats y hata kwa gadaf african leadaz walishindwa kucoment against him mpaka umoja wa africa baada ya kusitasita kwa mda mrefu ulikua unashindwa kulitambua baraza la mpito la libya na baadae nadhan labda ni kutokana na presure 4rm western countriz kwa viongoz wa great african countriz km zuma ambao wali2mia influence za uchumi wao africa kuya influence mataifa madogo ktk AU kulitambua baraza la mpito yaani NTC, wao wenyewe kwa kuwa wanategemea sana misaada kutoka kwa hao ma westerners waliogopa kubak na msimamo wao wa kuto litambua baraza hilo. Hii ni sawa na kinachotokea tz leo 2napoona mchina kauawa na jesh la polish kuunda task 4ce za kuchunguza kifo chake waka wazalendo kibao 2 wamekua wakiuliwa na jesh hil hufanya uchunguz localy na sio kuunda task 4ce km hii kwa mchina, point behind dis ni kwamba serikal ye2 inafanya hiv ili kumaintain nafas yake ya kusaidiwa na wachina kiuchumi na kusahau kubase ktk utu wa wazalendo wake, so misaada au msaada wake isitufanye 2sahau utu wake kwa wazawa bcoz yeye alikuwa kiongoz wa wazawa na si wagen kwa hivyo bas wananch wa libya waliwasha moto wao wenyewe against gadaf lakin kwa kukosa u2 gadaf aka comand madege yawashambulie wananch wake mwenyewe ndipo UN human right watch wanapoingilia kumu uproot m2 wanamna hiyo
 
Jamaa anongea ukweli mtupu lakini nahisi wazungu wataMind nahofia usalama wake.
 
Yale yale............. Waafrica.Kama unajua umekalia dhahabu, kwa nini unawapa sababu Wazungu waje wakushambulie?

Hivi angelifanya kama Putin, nani leo angelimuona ni dikteta?

Msiwe wa kuangalia upande mmoja na kusahau upande wa pili......Miaka 42 anatawala mtu mmoja tu, KHAAA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Halafu watu bado wanamlilia.Haya basi, tubadili katiba na tumpe KIKWETE miaka walau 20 tu. Baada ya hapo Mwanaye Ridhiwan ndiyo aje atawale na yeye kwa miaka 30.........

Sababu zake:
1. Ghadafi kujenga Satelite - Pumba, njia hii ni aghali sana. Mkonga kuzunguka Africa ni bei nafuu sana. Muulize mtaalamu wa Telecominication atakuambia. Ndiyo maana hata Tanzania, watu wengi wamehamia kwenye Mkonga kwa nguvu.
Pia kwa nini aliweka pesa hizo USA/Ulaya? Kwa nini hakuziweka kwake au South Africa? Kujenga Satelite huwahitaji Ulaya au USA. Sasa hivi kuna Warusi ambao ndiyo mababa wa anga na Mchina anakuja kwa speed kubwa na bei cheee kabisa.

2. Kujenga Bank ya Africa - Pumba. Dunia ya ushindani hii na hiyo biashara kwa sasa ndiyo inaporomoka kama Shilingi ya Tanzania. Ukitaka kununua Bank kwa sasa mbona zipo nyingi tu Ulaya. Greece wanauza hadi madeni yake. Mwenye hela yake awahi kununua bank.

3. United States of Africa - Pumba. Hii tunaiuwa wenyewe. Unategema Kikwete akubali awe Gavana na siyo Rais wa Tanzania? Unataka Bongo awe Gavana wa Gabon? Ngweso awe Gavana wa Congo tu? Kibaki eti abaki kuwa Mkuu wa State ya Kenya........ Hili litachukua muda sana. Nyerere alisema kuwa tuungane vipande vipande kwanza na ndiyo tuunganishe Africa. Hadi leo tunazidi kugawanyika.
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom