Wazungu hawatamsahau huyu jamaa milele

Ndallo

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
7,619
4,292
amin_2.jpg

gen__i_d_amin.jpg
 
MUNGU anisamehe pamoja na wenzangu wana JF; siyo mbaguzi wa rangi ila kiukweli hawa jamaa kuna wakati kwa kuwafanyia hivi INAWARUDISHA KATIKA SAIZI YA UBINADAMU WA KWELI.......
 
  • Thanks
Reactions: Zee
kwa mambo hayo kwakweli hawatomsahau bwana iddy, nakumbuka pia alivyoomba apande ulingoni na julius wazichape....
 
mwalimu alipomlaani kwa udictator wake... inadaiwa alimtumia mwalimu barua akamwambia anampenda sana angekuwa mwanamke angetuma posa amuoe kwani ana mawazo endelevu sana. huyu jamaa kiboko. ila niliona scene moja wakati anahojiwa alipoulizwa kama kweli alimtumia mwalimu hiyo barua akawa anacheka.
 
Thank you very much indeed
 
Aisee alitaka kumuoa mwalimu, duu hii kali natamani angekuwa hai alafu ashutumiwe na prezidaa huyu wa sasa!!
 
mwalimu alipomlaani kwa udictator wake... inadaiwa alimtumia mwalimu barua akamwambia anampenda sana angekuwa mwanamke angetuma posa amuoe kwani ana mawazo endelevu sana. huyu jamaa kiboko. ila niliona scene moja wakati anahojiwa alipoulizwa kama kweli alimtumia mwalimu hiyo barua akawa anacheka.

bua ha aha vipi Mwalimu aliijibu hiyo barua?Au majibu ndiyo vita ya Kagera?
 
Hataisahau Tanzania na in fact lazima alijilaumu baadaye kwa kumchokoza Mwalimu Nyerere.
 
Duh!huyu jamaa alikuwa balaa,i wish i cud be alive during his presidency to see this Evil minded person..
 
:biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1: yebaaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom