Dani
Senior Member
- Dec 23, 2009
- 108
- 3
Eti huyu kichwa panzi anasema wazungu hawacheat?? Hoja zake ni za kijinga mpaka inatia hasira, kwa anataka kusema cheating is a middle name of 80% of Tz men?? Takwimu za wapi na kazipata wapi na kazilinganisha na zipi , kutoka wapi??
Abdulhalim, hebu niambie ni wapi hujamwelewa huyu dada vizuri? Of course, these are not real statistics - they are a reflection of objective observations from many friends, colleagues, relationships/marriages she knows, and I would tend to concur with her! Kweli unaweza kucompare cheating ya wazungu na ya wabongo?!?!? Bongo cheating imekuwa the norm, siyo the exception. Hujasikia wanaume wakisema, "aisee, nilipokuwa chuo bwana, hamna bweni ambalo sijalala [akimaanisha kuwa ameshafanya ngono na wanawake wa kila bweni], ama kama dada anavyosema "[wanafanya] nao ngono halafu wanakaa bar na kuanza kuhadithia rafiki zao, 'Yule demu yuko hivi yuko vile', huu mji ni mdogo sana, unaingia sehemu unadhani umevaa nguo kumbe watu wanakujua ulivyo ukiwa uchi ". Tena five doubles or lagers into the evening, hizo ndizo story utakazozisikia?
Na siyo kwenye fidelity tu. Vipi, unaona kweli mwanamke anathaminiwa? Anafanya the majority of work, yupo responsible for house/children, lakini halipwi na often hana mamlaka yeyote na pesa za mumewe. Mi baadhi ya wafanyakazi wenzangu wanawake wanaomba ruhsa [siyo kuwaarifu waume zao] kwa woga wakitaka kutoka get-together ya idara. Mpaka mimi, kama mkuu wao wa idara, nitafute namna ya kuwaambia waume zao au kuwaandika barua inayothibitisha kwamba kuna tukio la idara. Male domination in full swing. Mwanaume wa kizungu hana hizo.
Nimekaa Ulaya 9 years. I tell you they are different! Huku, mwanamke haheshimiwi hata akitoa hoja. Usishangae kuna members wa JF ambao ni wanawake wenye male profile kwa sababu inawapa fursa ya kuchangia hoja bila ya kudharauliwa kama walivyozoea kudharauliwa katika mazungumzo. They never feel that a man takes them serious when they voice their opinion. All because views zetu kuelekea wanawake wetu bado ni premature.
Of course, kuna wanaume ambao wakisoma post ya huyu dada watapinga out of pride, maana imehatarisha nafasi zao za ubabe/domination na inatia hofu kujua kwamba it is an increasing trend for women to prefer wazungu. Mi naiona post yake kama changamoto kwetu kubadili mitazamo yetu. Most wome want love, respect, dignity, committment [yes there are those who want money, but they'll get their unfaithful men, and leave the decent men to the decent women]. Tukiwapa machache hayo, hawa wazungu hawatacheza tena sana kwenye anga letu. After all, we're much more good looking than them!