Mahai
JF-Expert Member
- Jan 14, 2010
- 351
- 38
Umeongea kweli binti kisura . Angalia kipindi kimoja kinaitwa Cheaters ktk zone reality ndio utagundua kwamba wazungu wachafu kuliko hata sisi ila watu hawako aware na hili. Mentalite zetu zinafikiri wazungu bora kwa kila kitu. Kama duniani wangekuwa wanaishi waafrika peke yako uenda kiama kingechelewa kuja kwa maana wao ndio wanafulfill prediction za kiama na sisi tunaiga toka kwao.
Mfano:
1). Watu kutokuona aibu (Kukaa uchi). Wazungu wameanzisha kwenye program zao mbali mbali za TV na sisi tunaiga eti kwenda na wakati
2). Kuingiliana kinyume cha maumbile- watu wanaiga kweli porno movies ambayo waanzilishi ni wazungu. So utakuta kwamba mtu mweupe kachangia kwa kiasi kikubwa maandeleo na uharibu wa jamaa
We nawe ovyo kweli, kwani wamewadunga sindano ya kuwalazimisha wawaige, si akili zao mbovu ndio zimewatuma, kama wamewaona wazungu wanakaa uchi na wao wakaiga thats not our problem, kama wameona siku hizi fashion ni kinyume na maumbile na ndio maana wanafanya, shauri yako watakufa macho wazi!!!!! Hapa tunazungumzia 2nd part of the story iliyowekwa hapo juu and if you read properly utaona 1st part amewaponda wana wadada wanaopenda wazungu ili tu wapande chat za kijinga.