Wazo la Online Bookshop

Wazo la Online Bookshop

Nina fikiria kuwa na online bookshop, yaani kuuza digital documents za vitabu mbalimbali vya sekondari. Naomba mawazo yenu na nini cha kufanya

Sent using Jamii Forums mobile app
Hello ndugu.
Hiyo IPO tayari hapa TZ

Uza Downloadable Documents Mtandaoni na Ujenge Kipato | Maktaba - www.maktaba.net.co.tz

Au

Pakua App Play store inaitwa "MAKTABA"

https://play.google.com/store/apps/details?id=com.maktaba.app

=> Uza document kama Ebooks, research, ripoti, magazines, exams, calculations, business, legals, health, tips, michoro, designs, picha, graphics, logo, scripts, codes, templates, security codes, tips...
=> Waweza uza documents za fani yeyote ile kama kilimo, afya, uhandisi, siasa, dini, masomo, sayansi, historia, ufugaji, mapishi, mahusiano, biashara, Tehama, uchumi…

- Mteja analipia kwanza mtandaoni kisha ndio anaruhusiwa kufanya download
- Malipo kwa Tigopesa, Mpesa, Bank card au Paypal
- Uza na pokea malipo kwa wateja pande zote za dunia nchi yeyote ndani ya dakika tuu

Mahesabu Simple ya faida:
- Mfano umeandika kijitabu (eBooks) chako cha *mafunzo ya upishi* au *masomo ya ujasiriamali* na unakiuza mtandaoni kwa Tshs. 2,500/=
- Ndani ya mwezi 1 Ukafanikiwa kukitangaza na kukiuza kwa *followers wako 1000 wa Facebook, instagram na WhatsApp*
- Mauzo yako ndani ya mwezi huo mmoja yatakuwa:
Tshs. 2,500 x 1000 = Tshs. 2,500,000/=

- Ni njia sahihi ya kuuza digital files zako (docs, ebooks, music, video clips, graphics, files…) kwa ufanisi zaidi
- Jiajiri na kufanya kazi zako popote pale ulipo. Ukiwa nyumbani. Kwa simu au computer yako!

*Use Your Mental Asset to Build Your Income!*

- Uza softcopy kwa fani yeyote ile kama ualimu, kilimo, ufugaji, simulizi, primary schools, university materials, medicines, engineering, literatures, graphics design, artistic, history, programing, architectural, law, music…

Fungua duka lako special mtandaoni ndani ya dakika 1 na uanze kunufaika na uchumi wa kidijitari kupitia simu au computer yako!

Pakua MAKTABA App ==> https://play.google.com/store/apps/details?id=com.maktaba.app
 
Hiyo yako ni platform ambyo watu wanajiunga wanapost vitabu na bei wanayouza, my idea haipo hivo ni kuwa na my own prepared materials na ni ya elimu ya sekondari tuu then nakua nauza digital documents kwa affordable price, na wala usiseme hiyo ipo tayari au umeona Uzi wangu ndo wakutangazia hiyo platform yako???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona ushaanza kuwalalamikia wenzio wenye platform yenye idea kama yako mapema yote hii? Kwenye ulimwengu wa kibiashara wa sasa hivi ideas sio kitu cha "kujivunia" tena ile kwamba sijui nina bonge la idea, hiyo pekee haitoshi biashara za sikuizi it's all about how you execute your idea. Inaweza ikawa the same idea but the way you play at the field ndo kitakufaulisha au kukufelisha nadhani kwa kupitia uber, taxify, ping, moovin ni mifano hai kabisa katika hili kwa namna wanavyoendesha biashara zao wote wakiwa na idea moja.

Nlichokua nataka kukushauri kama utauza vitabu vya secondary or collage ni muhimu ukapata hati miliki za wahusika ili isikupe shida ukitaka kuvi peleka kwenye softcopy!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakini pia changamoto ninayoiona hawa wanafunzi unaowalenga (wateja wako) hawaruhusiwi kumiliki simu, so how you will going to sell your products?

Hapana mkuu idea ni kwamba hizo materials ambazo nauza natoa cost ya kuziandaa mwenyewe through paying teacher of particular subjects then naanza kuuza sio kwamba natumia za vitabuni Hapana, na pia hapa nawatarget zaid walimu na wazazi ndo customers

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hello ndugu.
Hiyo IPO tayari hapa TZ

Uza Downloadable Documents Mtandaoni na Ujenge Kipato | Maktaba - www.maktaba.net.co.tz

Au

Pakua App Play store inaitwa "MAKTABA"

https://play.google.com/store/apps/details?id=com.maktaba.app

=> Uza document kama Ebooks, research, ripoti, magazines, exams, calculations, business, legals, health, tips, michoro, designs, picha, graphics, logo, scripts, codes, templates, security codes, tips...
=> Waweza uza documents za fani yeyote ile kama kilimo, afya, uhandisi, siasa, dini, masomo, sayansi, historia, ufugaji, mapishi, mahusiano, biashara, Tehama, uchumi…

- Mteja analipia kwanza mtandaoni kisha ndio anaruhusiwa kufanya download
- Malipo kwa Tigopesa, Mpesa, Bank card au Paypal
- Uza na pokea malipo kwa wateja pande zote za dunia nchi yeyote ndani ya dakika tuu

Mahesabu Simple ya faida:
- Mfano umeandika kijitabu (eBooks) chako cha *mafunzo ya upishi* au *masomo ya ujasiriamali* na unakiuza mtandaoni kwa Tshs. 2,500/=
- Ndani ya mwezi 1 Ukafanikiwa kukitangaza na kukiuza kwa *followers wako 1000 wa Facebook, instagram na WhatsApp*
- Mauzo yako ndani ya mwezi huo mmoja yatakuwa:
Tshs. 2,500 x 1000 = Tshs. 2,500,000/=

- Ni njia sahihi ya kuuza digital files zako (docs, ebooks, music, video clips, graphics, files…) kwa ufanisi zaidi
- Jiajiri na kufanya kazi zako popote pale ulipo. Ukiwa nyumbani. Kwa simu au computer yako!

*Use Your Mental Asset to Build Your Income!*

- Uza softcopy kwa fani yeyote ile kama ualimu, kilimo, ufugaji, simulizi, primary schools, university materials, medicines, engineering, literatures, graphics design, artistic, history, programing, architectural, law, music…

Fungua duka lako special mtandaoni ndani ya dakika 1 na uanze kunufaika na uchumi wa kidijitari kupitia simu au computer yako!

Pakua MAKTABA App ==> https://play.google.com/store/apps/details?id=com.maktaba.app

Habari yako mkuu, naomba kufahamishwa kwenye platfom hii, mfano nime upload kitabu changu cha hadithi, nikauza copy 100 kwa mwezi je pesa yote ni yangu au ninyi kama platfom mtachukua percent kadhaa?
Bunyebunye
 
Nafikiri Kaka unahitaji kulifikiria upya wazo lako la biashara.Kama alivyopendekeza Mkuu hapo juu ukiona wazo lako linaendana na hilo la jamaa wa kuuza "docs" ni vyema ukafanya kama "competitor" japo unaweza ukaboresha wazo lako.Lakini uwatumie walimu kuandika mfano notes halafu walimu haohao waje kununua kwako hii haiko sawa na haijakaa vizuri kibiashara.Tafakari upya wazo lako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ukipata wazo wewe fanya tu. Weka nguvu yako fanya. Bila kujali nani anafanya nini. Hata kama ni ku copy biashara ya mtu, as long as unajua ku excute copy tu. Hata kama kuna wengine mia wanafanya wewe fanya tu.

Hakuna kuogopa
 
Back
Top Bottom