Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 37,107
- 55,524
Wakiikata utabaki na kama laki 3, utaweza kuishi kwa miaka 6 au 7Take home
Wakiikata utabaki na kama laki 3, utaweza kuishi kwa miaka 6 au 7Take home
Unafanyia nini gari?Nina wazo la kununua gari ndogo ya kutembelea.Nataka kukopa benki ili nipate fedha za kununua gari hiyo.Natakiwa nikope kama milioni 22 .Hili wazo la kukopa fedha ili ninue gari toka japani mnalionaje ni zuri au baya.Mshahara wangu ni kama laki 600000 kwa mwezi
Hapo sawaTake home
Kwanini usinunue gari South Africa mkuuUsed
Kwanini usikope kununua gari la biashara?Nina wazo la kununua gari ndogo ya kutembelea.Nataka kukopa benki ili nipate fedha za kununua gari hiyo.Natakiwa nikope kama milioni 22 .Hili wazo la kukopa fedha ili ninue gari toka japani mnalionaje ni zuri au baya.Mshahara wangu ni kama laki 600000 kwa mwezi
Matunzo ya gari ni zaidi ya matunzo ya familia kazi kwako mkuuNina wazo la kununua gari ndogo ya kutembelea.Nataka kukopa benki ili nipate fedha za kununua gari hiyo.Natakiwa nikope kama milioni 22 .Hili wazo la kukopa fedha ili ninue gari toka japani mnalionaje ni zuri au baya.Mshahara wangu ni kama laki 600000 kwa mwezi
Duh,Kaka muda wa kumiliki gari ni huu nina miaka 45 bado 15 nistafu.Haitakuwa vizuri nimiliki gari baada ya miaka hiyo
Top up mbaya sana bora kuanza mkopo mpya benki nyinginechukua hela, kuna mwamba alikufa halafu salary slip yake kaina kirusi wakati wengine salary slip ni mkeka treni benki zimejaa cha msingi achana na mambo za top up