Wazo la kukopa fedha benki

Wazo la kukopa fedha benki

Nina wazo la kununua gari ndogo ya kutembelea.Nataka kukopa benki ili nipate fedha za kununua gari hiyo.Natakiwa nikope kama milioni 22 .Hili wazo la kukopa fedha ili ninue gari toka japani mnalionaje ni zuri au baya.Mshahara wangu ni kama laki 600000 kwa mwezi
Tembelea tako mwanawane upate kuwala warembo
 
Nina famili jumla tuko watano.Kwa kiasi hicho cha pesa itanibidi nikope kwa muda wa miaka 9.Najua ni muda mrefu nawafaidisha benki lakini sina namna.Moyo unataka gari mpya toka Japani.Alphard,Wishi au yoyote yenye siti saba au nane
Mkuu samahani kama nitakosea umesema gari jipya toka japan kwa maana 0KM au used but New toka japan
 
Kwa maelezo ya mtoa mada ana uhitaji wa gari chukua huo mkopo alphard kwenye showroom ya jan japan unapata chini ya million 20 hata toyota wish pia cha kufanya inayobaki fungua hata duka la mangi ili kuhudumia gari isiwe mzigo
 
Huwezi
Nina wazo la kununua gari ndogo ya kutembelea.Nataka kukopa benki ili nipate fedha za kununua gari hiyo.Natakiwa nikope kama milioni 22 .Hili wazo la kukopa fedha ili ninue gari toka japani mnalionaje ni zuri au baya.Mshahara wangu ni kama laki 600000 kwa mwezi
Hongera kwa kuwa na sifa ya kukopesheka, huwa nashangaa sana Watumishi wanoaogopa kukopa...utapataje maendeleo usipokopa?

Familia zetu za ki Africa ni extended family, huwezi kudunduliza mil 15 hadi ununue gari, so kukopa lazima.

More over usafiri ni muhimu, nachotofautiana na ww ni huo mkopo ume extend muda mrefu sanaa ,in fact utakuumiza , mkopo wa mshara usizid 3yrs.
 
Kwa maelezo ya mtoa mada ana uhitaji wa gari chukua huo mkopo alphard kwenye showroom ya jan japan unapata chini ya million 20 hata toyota wish pia cha kufanya inayobaki fungua hata duka la mangi ili kuhudumia gari isiwe mzigo
Jan japani wananafuu ya bei?
 
Ukikopa 22m watakupa 20m then 2m watakata kwa ajili ya processing etc

Baada ya apo watakukata kila mwezi almost 360k, kwa miaka tisa utalipa kama milion 42 hivi.

So ni kama unawalipa mara mbili ya hela uliokopa.

Mimi sipo kwa ajili ya kukushauri ukope au usikope, me nakuelezea tu pesa utakayowalipa in case kama ulikua hujui namna wanavo calculate.

Maamuzi ni yako

Asante
Hujakosea.Ukifikiri sana faida wanayopata benki huwezi kukopa lakini mill 20 au zaidi nani atakupa bure kwa mkupuo?Siku zote benki wako kwa ajili ya kutengeneza faida
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom