Unakaa mkoa gani labda tuanzie hapo..mfano kuna badhi ya maeneo maisha ni nafuu..hapo ndio nitajua pakuanzia....kuna vyanzo vya mapato tofauti na mshara ?Kaka muda wa kumiliki gari ni huu nina miaka 45 bado 15 nistafu.Haitakuwa vizuri nimiliki gari baada ya miaka hiyo
We kama unataka kununua gari, Kwa kuanzia usinunue gari ya bei kubwa hivyo. Tafuta Fundi mzuri (wapo) nunua gari zilizotumika hapa nchini. Achana na gari kubwa (Alphad), nunua gari ndogo ya watu 5 yenye chini ya 1,700cc, mf. Toyota Raum unaweza ipata ya 6M yenye Hali nzuri kabisa, ukafanya marekebisho kidogo ukaendelea kula maisha.Nina wazo la kununua gari ndogo ya kutembelea.Nataka kukopa benki ili nipate fedha za kununua gari hiyo.Natakiwa nikope kama milioni 22 .Hili wazo la kukopa fedha ili ninue gari toka japani mnalionaje ni zuri au baya.Mshahara wangu ni kama laki 600000 kwa mwezi
Izo gari zitakutesa sana kwani cc ni kubwa sana kama alfard 2000cc na wish 1990 maguta utamudu?kwa mshahara huo achana kabisa na wazo la gari nunua pikipiki utamudu na utanishukuru baadayeNina famili jumla tuko watano.Kwa kiasi hicho cha pesa itanibidi nikope kwa muda wa miaka 9.Najua ni muda mrefu nawafaidisha benki lakini sina namna.Moyo unataka gari mpya toka Japani.Alphard,Wishi au yoyote yenye siti saba au nane
Pikipiki ninayo FekonIzo gari zitakutesa sana kwani cc ni kubwa sana kama alfard 2000cc na wish 1990 maguta utamudu?kwa mshahara huo achana kabisa na wazo la gari nunua pikipiki utamudu na utanishukuru baadaye
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Hapo kwa mm mzoef wa mikopo, chukua milion 8 kwa muda wa miaka 3, baada ya hapo data chuma kwa mtu tena chukuq raum, ist runs au allex, utanishukuru baadae. Miqka 9 no mongi sana kwa mtumiahi af mwenye familiar kubwa hvyo utajutia.Nina famili jumla tuko watano.Kwa kiasi hicho cha pesa itanibidi nikope kwa muda wa miaka 9.Najua ni muda mrefu nawafaidisha benki lakini sina namna.Moyo unataka gari mpya toka Japani.Alphard,Wishi au yoyote yenye siti saba au nane
Ni kwel yaan aside na haraka achukue miaka mi 3 tena milion 8 au 9 achukue gar kwa mtuUkikopa 22m watakupa 20m then 2m watakata kwa ajili ya processing etc
Baada ya apo watakukata kila mwezi almost 360k, kwa miaka tisa utalipa kama milion 42 hivi.
So ni kama unawalipa mara mbili ya hela uliokopa.
Mimi sipo kwa ajili ya kukushauri ukope au usikope, me nakuelezea tu pesa utakayowalipa in case kama ulikua hujui namna wanavo calculate.
Maamuzi ni yako
Asante
Kijana, wakianza kukukata hela yao walio kukopa, haitapungua 350 makato ya mkopo, na hapo hapo utaiona hiyo gari kama ina gundu. Ukumbuke laki 6 ni sawa na laki 2 yakipita makato yote.(Paye, Nssf,Nssf, etc) Sasa hiyo gari itahitaji kuhudumiwa service, mafuta, na kuna hapa na pale umepigwa pasi na wahuni wamekushona bampa wamekimbia. Soon Utaichukia hiyo kazi utakosa morale ya kazi utaanza kuwa mwizi utapata stress. Sikukatishi tamaa ya kununua gari, nakupa matokeo ya baada ya huo mkopo ambao nao hautapata hiyo 22 utapewa 19. Na mwezi huo huo wanaaza kukufyatua kwenye s.slipNina wazo la kununua gari ndogo ya kutembelea.Nataka kukopa benki ili nipate fedha za kununua gari hiyo.Natakiwa nikope kama milioni 22 .Hili wazo la kukopa fedha ili ninue gari toka japani mnalionaje ni zuri au baya.Mshahara wangu ni kama laki 600000 kwa mwezi
Hizo hesabu nzuri ukiwa unandika script ya movie yani ukiigize ila kiuhalisia ngumu sanaWeka akiba kila mwezi ya kiasi cha tsh 300,000 hadi 400,000
Ukiweka akiba ya 300,000 toka ktk mshahara wako kwa miezi 12 utakuwa na kiasi cha tsh. 3,600,000.
Kwa miaka 9 hadi 10 ya mkopo utakuwa na akiba ya 32,4000,000. Kwa miaka 9 na kwa miaka 10 utakuwa na akiba ya 36,000,000
Hapa unakuwa umebakisha miaka 5 uachane na ajira. Una nunua gari kali
Ikiwa utawekeza akiba ya 400,000 kila mwezi.
Kwa miezi 12 ni 4,800,000.
Kwa miaka 9 ni 43,200,000
Kwa miaka 10 ni 48,000,000
Hapa unakuwa umebakisha miaka michache ya kuachana na ajira, unarudi ktk matumizi ya 600,000 yako au unaweza kuta mshahara umeongezeka mara dufu na vyeo vya kumwaga na maposho bila idadi
Wengine tumejitahidi na tumeweza kwa zaidi ya 78% mpaka sasa. Bado hatujatoka katika malengoHizo hesabu nzuri ukiwa unandika script ya movie yani ukiigize ila kiuhalisia ngumu sana
Kwa watumishi sisi tunajua ni vigumu sana kuweka pesa kaka na ndio maana tunakimbiliaga mikopo. Japo kua tunatakiwa kua na elimu bora juu ya mikopo. Mikopo ya chini ya miaka 3 hua ni rafiki sana, pia usitake jambo kubwa kwa haraka, kama mtoa maada anataka kuagizq,, namshauri aanze tu kununua gari kwa mtu na ni gari ndogo, ili aweze ku enjoy maisha ya kua na gariWengine tumejitahidi na tumeweza kwa zaidi ya 78% mpaka sasa. Bado hatujatoka katika malengo
600,000 × 12 = 7.2m ndiyo Net income yako per Year.Nina wazo la kununua gari ndogo ya kutembelea.Nataka kukopa benki ili nipate fedha za kununua gari hiyo.Natakiwa nikope kama milioni 22 .Hili wazo la kukopa fedha ili ninue gari toka japani mnalionaje ni zuri au baya.Mshahara wangu ni kama laki 600000 kwa mwezi
Hujui na ww ulikopaga mkuu, mpe chungu na tamu mdau aelewe somo 😀Mi mambo ya finance sijui, ila daka ndinga Dar jau sana.
Hii si bilion 60 kabisa (60,000,000,000). Hahitaji kukopa kabisakwa mshahara wa laki 600000 ni mkubwa sana.unaweza nunua hiyo gari hata bila kukopa mkuu