Wazo la kiutani utani

tajiriboya

Member
Oct 31, 2019
15
36
Maisha yamekuwa magumu sana kipindi hiki. Nilikuwa nawaza kwa mfano nikisajili lain 20 za Vodacom kila laini nikakopa M-Pawa buku tano tano, 5000x20=100k (ntasubiria laini zimalize miezi mitatu ndo nikope)

NB: Akili ya usiku hii

TajiribOya
 
Ok
IMG_20191020_174526_962.JPG
tapatalk_1567597796988.jpeg
 
Kuzihudumia laini 20 zote mpaka utimize vigezo na mashariti vya kupata mkopo, nadhani hapo hela utakayoiwekeza hapo, kuirudisha ni ngumu.
Labda kama unafanya kwa kujifurahisha! (una hela za kuchezea)
 
Kwani line hizo unapata bure?? Kiasi unatarajia kununulia line kwanini usikifanyie biashara hata kama ni kidogo.
 
Back
Top Bottom