Wazo: Kampuni ya Wakulima na Wafugaji-JamiiForums

true true,
tatizo mawazo na nia huwa nzuri,pia watanzania huwa hatuna utamaduni wa kubishana,tunakubaliana vizuri ktk vikao hvi,then hatutekelezi lolote,
nashauri wale wenye vitendo wakutane kwanza na sisi wa blablah ktk komputer na forums tukabaki humu humu.
Mr,Malila, nimepata shamba mkuranga hekari 30,nimeanza kusafisha,ntalima papai na rosela kwanza
 
Great news,

Mkuu ni kipande kipi cha Mkuranga hicho. Mimi niko njia ya Kisiju mitaa ya Mbezi. Tunapanga sana na hatutekelezi maazimio yetu. Safari ni hatua,tumeanza na tutafika mkuu. Usikatishwe kataa. Ukiweza kamata zaidi ya hiyo,bado mitaa ya Mkuranga bei si mbaya na matapeli ni wachache.:thumb:
 
mkuu naomba kujua lini mtaku tana tena hapa dar!naamini kuna watu wengi tunataka kujuiunga na huo umoja ila naona huu uzi na nyingine nyingi zenye manufaa kwa wajasiliamali wanaochipukia zimesahaulika sana!
 
Huwa tunakutana mara nyingi, lakini ktk mikutano yote tuliyofanya, mkutano mmoja una mafanikio zaidi. Huu mkutano unatumia jina la chai day, august 2013 utafanyika tena. Mkutano wa wafugaji wanaoanza tulifanya mara mbili tu, hauna matunda mazuri kivile, shamba tunalo lenye maji na kibanda tumejenga na mbuzi tukanunua, sasa kuendelea na kurasimisha kazi yetu ndio kasheshe. Tutafika kwa uwezo wa mola.
 
huo mkutano wa august ningependa kuhudhuria.
 
huo mkutano wa august ningependa kuhudhuria.

Mkutano huo zaidi utajikita kwenye misitu,tangazo utaliona hapa hapa jamvini likiwa na kichwa cha chai day august 2013. Jiandae kunywa chai hadi ukome, hakuna maji ya Ilala wala nduguze mpaka mkutano uishe.
 
Wana JF yawezekana kwa sababu ya ugeni wangu humu jukwaani jili jambo limenipita ila nina kiu ya kunywa Chai. naomba kujuzwa kama chai day imepita. Mimi ninataka kuanza ujasiriamali.
 
Wana JF yawezekana kwa sababu ya ugeni wangu humu jukwaani jili jambo limenipita ila nina kiu ya kunywa Chai. naomba kujuzwa kama chai day imepita. Mimi ninataka kuanza ujasiriamali.

Mkuu,
Chai hatujanywa, sio kwa sababu ya uzembe, project imenoga,imebidi tusogeze muda kidogo.Hatukutarajia kufungua estate mpya mwaka huu, kwa bahati nzuri july tukapata estate mpya kabisa,kwa imelazimu majeshi yahamie huko ili kukidhi mahitaji yetu ya 2014.

Itabidi nikupe pm kwa ajili ya siku ya chai, lakini tutafanya kabla ya 2013, ili pamoja na mambo mengine tupate mrejesho wa hewa ya ukaa.
 
Mkuu Malila nami natamani kuwepo kwa hiyo CHAI DAY nilikuwa Msomaji wa JF zaidi ya 2yrs ufahamu wako wa mambo ya Ujacliamali nakutokuwa mchoyo kutoa ushauri kwa yale unayoyafahamu yamenifanya niwe MEMBER wa JF plz ikiwa hutajali naomba Prvt contact zako Ndg yangu nataka Darasa la NOA na MISITU Mobile nmba yangu ni 0758 551 103 na Email yangu ni ezraemanuel12@gmail.com natanguliza Shukran zangu kwa wana JF wote! Endeleeni kubarikiwa Ushauri mnaoutoa cbure mnatusadia cc tunaotamani kufanikiwa MAISHA kihalali!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…