Ni kweli ,Tigo sasahivi unapata GB 9 kwa elfu 20000Unajua gharama ya mwanzo kama hujaweka kifurushi ilikuwaje? Kaongelea ubadilishaji holela wa gharama za vifurushi, aidha amekwepa hoja ya msingi ya upangaji wa gharama za vifurushi ama chanzo ulipotoa taarifa wamechagua kuto-cover upande huo
🤤WAUZAJI watauza kwa maximum allowed price sio hiyo ya chini.
Kwani MABEBERU hawana interest na welfare ya mtanzania yoyote
Kupandisha bei ni after 3 months....Hili ndio jipya....ila wakiamua kupandisha hamna wa kuzuia.
HizoNenda kwenye page ya clouds media ya twitter kuna video katamka kabisa hizo figure tena kwa kurudia rudia!
Kama umenitumia ile mimeseji ya mjukuu wangu mbona kimya toka nimekutumia ile ndangu ya kupata utajiri?? Sasa nai forward hiyo msg yako kwenda TCRA na pia naweka namba yako iliyokuja kwangu. Wakifuatilia huko wataona kweli ulinutumia hiyo msg so wanakudaka bila kuonewa hapo.Airtel MB ni shs 5, tunachoambiwa hapo hatuhitaji kulalamika wako within range.
Je, wamejipanga vipi, endapo mimi simpendi NDUGULILE naamua kutuma namba yake 15040, aonekane tapeli, wakati si kweli?? Kuna hatua zipi stahiki zitachukuliwa kwa wale watakaotumia vibaya hiyo namba??
Everyday is Saturday...............................
Hiyo shilingi 2 ndiyo bei kwa iliyopo kwa airtelView attachment 1720184
Hiyo ndio serikali yako ya ccmMbona hakuna kilichopunguzwa.. Gharama za MBs itakuwa ghali zaidi kuliko ilivyo sasa.