REJESHO HURU
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 4,564
- 9,684
Nimeweka risiti hapa uone kibaya zaidi jambo hili linatokea Nzega hapa ndio wakulima humkumbuka Magufuli yani gunia moja linatozwa ushuru kweli yani mkulima alime mazao yake ya kula yeye na famila yake anaenda kuvuna wanasubilia njiani atozwe ushuru.