Waziri wa Kilimo, Dkt. Charles J. Tizeba (Mb) amefanya uteuzi wa Wajumbe wa Bodi za Wakurugenzi za Bodi za Mazao

kirerenya

JF-Expert Member
Aug 27, 2013
1,696
2,252
wajumbe.jpg
DG7fO99XsAAValH.jpg
DG7fO-EXYAA9yFY.jpg
DG7fO92XgAEIatT.jpg
DG7flTLWAAA57qM.jpg
 
Anataka kuthibitisha kuwa yeye si mpumbavu.

Kuna bodi moja ya nafaka na mazao mchanganyiko iliyopita, mwenyekiti wake alikuwa dr. Wanyancha.

Bodii hii ilikaa madarakani muda mrefu na kushindwa kutekeleza maagizo ya serikali ikiwa ni pamoja na kuchukua mali zote zilizokuwa chini ya shirika la usagishaji la taifa ikijumuisha vinu na vihenge vya arusha na Iringa.

Walichofanya ni kumilikisha kibatili vinu na vihenge vya NMC arusha.

Wametumia pesa nyingi za umma kwa manufaa yao binafsi.
Bodi mpya ianze na ufisadi huu.
 
Hongera mbunge Mstaafu wa jimbo la Kibiti ndugu Abdul Jabiri Malombwa kuwa mjumbe wa Tume ya maendeleo ya Ushirika
 
Back
Top Bottom