Waziri wa Katiba na Sheria Mwigulu Nchemba awajibu TLS kuhusu Rais Samia Suluhu kuteua Baraza jipya la Mawaziri

Mwigulu akija kupata madaraka makubwa, ataumiza na kuua watu mnoooo.

Narudia tena mnooooooooooooooooooo.

Weka madaraka makubwa mbali na Mwigulu. Siyo binadamu kabisa.

Na kibaya zaidi ni bingwa wa uchawa ili apewe vyeo. Kwa mfumo mbovu tulionao, no wonder huyu mtu akaja kuleta maafa tena makubwa mnoo.
 
Walichofanya TLS inaitwa misdirection (kujielekeza vibaya), kama tafsiri hii nyingine ni sahihi, siyo kupotosha watu.
 
We madelu acha uboya!! subiri maamuzi ya rais.
 
Chandimu wameanza na mirathi kabla ya kumzika marehemu, mh Mwigulu kaponda kwenye kidonda
 
Mwigulu anatoa siri za kilichojadiliwa katika baraza la mawaziri.
Kwa kitendo hicho tu tayari ameshavunja kiapo cha kutotoa mambo yanayojadiliwa katika baraza la mawaziri kinyume cha sheria
 
Maono ya Magufuli hayafi! Yanatimizwa kwa kasi kubwa kupitia Mama Samia! Baraza la mawaziri ndio hilo sasa lipo! Mmeula wa chuya!
 
Maono ya Magufuli hayafi! Yanatimizwa kwa kasi kubwa kupitia Mama Samia! Balaza la mawaziri ndio hilo sasa lipo! Mmeula wa chuya!
Mwigulu anatoa siri za kilichojadiliwa katika baraza la mawaziri.
Kwa kitendo hicho tu tayari ameshavunja kiapo cha kutotoa mambo yanayijadiliwa katika baraza la mawaziri kinyume cha sheria
 
Maono ya Magufuli hayafi! Yanatimizwa kwa kasi kubwa kupitia Mama Samia! Balaza la mawaziri ndio hilo sasa lipo! Mmeula wa chuya!
Mwigulu anatoa siri za kilichojadiliwa katika baraza la mawaziri.
Kwa kitendo hicho tu tayari ameshavunja kiapo cha kutotoa mambo yanayijadiliwa katika baraza la mawaziri kinyume cha sheria
 

Nazikumbuka zile maiti ufukweni Madelu akiwa Waziri Home Affairs!
 

Mwigulu anatoa maoni yake kutokana na emotions. TLS wametazama katiba. Hakuna sheria iliyowahi kuzingatia emotions!! Ni kweli ni msiba mkubwa lakini kama emotions zingetumika, hata SSH asingeapishwa basi. Aliapishwa kukishi matakwa ya sheria/ katiba.

Ikiwa tunataka emotions na mambo ya namna hiyo kupatiwa nafasi kwanza, katiba isingetaja habari za siku. Hata isingesema maombolezo ya siku 21. Nani anaweza kusema kuwa baada ya siku 21 uchungu wa kupotelewa na Magufuli utakuwa umekwisha??

Kutaka emotions zitawale ndio chanzo cha watu kuja baadae na kusema “tunafanya hili kumuenzi fulani na fulani”. Na tujiandae, hili litatumika sana!!!

Kama nchi tutasonga mbele katika uchungu na furaha, shida na taabu. Tutasonga mbele!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…