Waziri wa Elimu kwanini sheria ya bodi ya mkopo ina ubaguzi?

Leverage

JF-Expert Member
Jan 25, 2021
2,125
3,130
1.Ilipoanzishwa VRF 6% mwaka 2013 ikatumiwa kwa wote hata wale waliokopa kabla ya 2013.

2. Ilipoanzishwa makato 15% mwaka 2016 ikatumika kwa wote hata wale waliokuwa wanakatwa kabla ya 2016.

3. Ilivyofutwa VRF 1st May 2021 na Rais Samia imeanza kutumika kuanzia mwezi huo huo May 2021. Huku watu wakiendelea kudaiwa VRF kabla ya 1 May yaani wanadaiwa VRF kutoka April kurudi nyuma.

Kwanini sheria nyingine zinarudi nyuma na nyingine hazirudi nyuma?
 
Back
Top Bottom