Waziri Ummy: Serikali haitoi taarifa za COVID-19 kutokana na zoezi la uhakiki wa maabara ya Taifa

Kwanza hizo taarifa za idadi ya wafu na wenye corona zinasaidia nini?

Wagonjwa 20, kesho wagonjwa 50, kesho kutwa wagonjwa 100... SO WHAT?

Watu wameshaelekezwa kuchukua tahadhari. Hiyo inatosha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aliyeturoga watanzania yupo zake sehemu anatuchora tu..

Roma alisema "wanapiga Bomu mochwari,, halafu wanajisifu wameua"

Corona imetupa majibu mengi sana na itawaacha wengi na aibu (Viongozi wa Kisiasa + manabii wetu)
 
Haya ni maneno ya Lucky Dube kwenye wimbo crazy world.

So far so good we still living today
But we don't know what tomorrow brings
In this crazy world
People dying like flies every day
You read about it in the news
But you don't believe it
You'll only know about it
When the man in the long black coat
Knocks on your door
'Cause you're his next victim
As you are living in this

Living in, living in this crazy world
Living in, living in this crazy world
Living in, living in this crazy world
Living in, living in this crazy world



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema serikali haijatoa taarifa za mwenendo wa ugonjwa wa COVID-19 nchini kwa wiki moja sasa kutokana na uwepo wa zoezi la uhakiki wa Maabara ya Taifa na uhakiki huo utakapokamilika, taarifa zitaendelea kutolewa.

AzamTV
Perepeche, Hata mishahara haipandi tunafanya UHAKIKI.
 
Nasikia uhakiki wa maabara utaendelea kwa muda mrefu kama ilivyokuwa uhakiki wa wafanyakazi hewa.
Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema serikali haijatoa taarifa za mwenendo wa ugonjwa wa COVID-19 nchini kwa wiki moja sasa kutokana na uwepo wa zoezi la uhakiki wa Maabara ya Taifa na uhakiki huo utakapokamilika, taarifa zitaendelea kutolewa.

AzamTV
 
Kwanza hizo taarifa za idadi ya wafu na wenye corona zinasaidia nini?

Wagonjwa 20, kesho wagonjwa 50, kesho kutwa wagonjwa 100... SO WHAT?

Watu wameshaelekezwa kuchukua tahadhari. Hiyo inatosha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hamkutakiwa kuongoza nchi katika era hii ya information, mlitakiwa kuongoza wakati wa Kinjekitile, not now.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1588948617522.png

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu amesema sababu ya kutotangaza mwenendo wa ugonjwa wa Corona ni kutokana na maboresho yanayofanyika kwenye Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii, ambapo kuna marekebisho yanafanyika na ndani ya siku chache marekebisho yatakamilika na watatoa taarifa

Waziri Ummy ameeleza hayo leo wakati akizindua mfumo wa mawasiliano wa huduma kwa wateja katika Wizara hiyo ambapo amesema itasaidia wananchi kupata taarifa sahihi kwa haraka zaidi.

Aidha Waziri Ummy amesisitiza kuwa vifo vinavyotokana na Corona vipo na kesi za maambukizi zipo, hivyo wananchi wanatakiwa waendelee kuchukua tahadhari ili kuepuka kuambukizwa huku akiwataka kufuata taarifa sahihi na kuacha kujawa na hofu.

Chanzo: EATV
 
Uhakiki umekuwa chaka la kujifichia.
Mnakumbuka uhakiki wa wafanyakazi hewa, bado unaendelea na mishahara itaongezwa wakimaliza
 
Tatizo linaanzia jaw Rais Magufuli yani kama nchi ni tuna Rais mzigo! Tuwe wakweli tu!
Screenshot_20200508-173844_Samsung Internet.jpg
 
Uhakiki . ? Hivi mh waziri umesikia majibu ya CDC Director - Africa Region . . ? Mbona mnatuchanganya hivi , ?
 
Back
Top Bottom